Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
wanasoma nitarudi baada ya miaka 5 naamini itaendelezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama maendeleo yoyote unayoyafanya yatalindwa na amani, na amani italindwa na haki. Bila haki amani itatoweka na amani ikitoweka kwenye ngazi ya familia hadi taifa itakula na kuharibu maendeleo yote yaliyopatikana. Maendeleo yote yaliyokuwepo kule Libya, Iraq, Syria, Afghanistan, somalia, sudani kusini bila shaka yameliwa na vurugu zao. Hivyo basi unapofanya maendeleo lazima ukuze amani na ili amani ikue lazima uikuze haki, vinginevyo maendeleo yanayopigwa kuna siku hata kama sio leo au kesho lakini kuna siku yataingia dosari kubwa. Kwenye vurugu hata majengo ya hospitali yanalengwa.Ni vizuria kabisa kumkumbuka Mandela kwa msimamo huo; lakini usisahau sisi wenyewe hapa Tanzania tulikuwa na kiongozi aliyeamini hivyo na akatimiza aliyaoyaamini juu ya hali hiyo.
Mwalimu Nyerere alihakikisha ufukara wa mzazi kamwe usingekuwa kikwazo cha mtoto kutofaidika na elimu kwa kadri ya uwezo wake, bila ya kuwepo tofauti na yule anayetumia utajiri wake.
Matokeo yake ndio hao akina Kabudi wengi waliopata elimu kutokana na juhudi hizo. Kwa bahati mbaya hawa vijana wa wakati huo waliopewa "akiba ya mwisho ya chakula kijijini kwao ili kukinusuru kijiji na janga la njaa", leo hii ndio wanawakandamiza wanakijiji waliotakiwa kuwasaidia kuleta neema ya kijiji. Leo hii wanawanyima haki zao kwa visingizio vya 'kuwaletea maendeleo'. Wanasahau kuwa maendeleo hayaletwi na wao, bali wananchi wenyewe ndio watakaojiletea maendeleo.
Katiba ndicho chombo kikuu cha kutunza Amani yetu, katiba ambayo italinda maendeleo yetu tuliyofanya na katiba ambayo hata chama tawala kinaweza kuilalamikia tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi.Hajazungumzia katiba mpya ambayo itatoa dira ya jinsi ya mfumo wa utawala utakao endana na karne hii ya tehama. Bila mfumo wa kiutawala unaoendana na matakwa ya karne hii ya tehama yote aliyotaja kutekeleza ni kusadikika.
We vipi can you act or implement anything bila kukielewa kwanza? We vipi, hujui kusoma ndiyo chanzo cha UTEKELEZAJI wa mambo yote? Huyu vipi?Kusoma ndio yanatekelezwa? Hujui hata umeandika nini
That can be attained through a legitimate and free process rather than through threats and imperialistic funded campaigns led by a few misminded foreigners under the false disguise of "friends of Tanzania's peace and freedom".We need a full and comprehensive Constitutional Reform to ensure freedom and justice prevails to all. Not "Mateke ya mauwaji" to the opposition.
Suala la mapungufu kwenye kila jambo hayakosi! Au ulitaka kuwe na shule chache zenye ufanisi wa kila kitu!? Kwa mantiki hiyo wanafunzi wangekuwa wachache kwenye hizo shule na kuacha wengi sana NJE! Nadhani haingekuwa haki; vivyo hivyo kwenye sekata ya afya, maji n.k. Binafsi nadhani approach ya CCM na uongozi wote wa Serikali yetu uko ON THE RIGHT TRACK. Tunachohitajika kufanya na kuikosoa pale inapokosea ili isijisahau na irudi on track au siyo?!Mnapomsifu mkiambiaji usisahau kumsifu na anaemkimbiza. Kama CCM itafanya vizuri kwaajili ya 2025 basi sisi wananchi hatunabudi kuisifu CCM lakini bila kusahau kuisifu Chadema. Huu ni ushahidi kuwa upinzani umekomaa nchini kiasi cha kuisukuma ccm itende yale ya wananchi. Na hii ndiyo sababu ya baba wa Taifa kupigania uwepo wa vyama vingi vya siasa hata baada ya 80% ya wananchi kuvikataa. Bila ya chadema imara 2015 CCM isingempendekeza Rais JPM kuwa mgombea wake. Hivyo hata JPM atalazimika kuishukuru chadema na Lowassa waliosababisha yeye apewe nafasi hiyo kukabiliana na Lowassa.
Pamoja na hayo ni heri kufanya vitu vichache kwa ubora wa hali ya juu kuliko vitu vingi vya juujuu. Mfano, tulijenga vituo vya afya vingi lakini hakuna dawa, vifaa tiba, watumishi, maji na fedha za uendeshaji. Tumejenga shule nyingi lakini hakuna walimu, viti, maabara, mabweni, na ukaguzi
Ni heri ya pengo kuliko kubaki na jino bovu linalokuuma usiku kucha. Unaweza kuwa na shule nyingi zinazowatoa wahitimu wabovu kabisa ambao sio wamoto wala wabaridi (vuguvugu) kitu ambacho hata maandiko yanakataa watu wa hivyo. Unapokuwa na zahanati ambayo haina watumishi mahiri, vifaatiba na dawa maana yake umetayarisha kituo cha kuua au kuchelewesha watu kwenda kupata matibabu bila sababu. Ndio maana unakuta pamoja na uwepo wa zahani hizo lakini bado watu wanaenda kuonwa na waganga wa kienyeji na wakinamama kujifungulia nyumbani kwa wakunga wa jadi, hiyo ina maana kuwa mganga na mkunga wa jadi wana ujuzi kuliko wale walioko kwenye zahanati.Suala la mapungufu kwenye kila jambo hayakosi! Au ulitaka kuwe na shule chache zenye ufanisi wa kila kitu!? Kwa mantiki hiyo wanafunzi wangekuwa wachache kwenye hizo shule na kuacha wengi sana NJE! Nadhani haingekuwa haki; vivyo hivyo kwenye sekata ya afya, maji n.k. Binafsi nadhani approach ya CCM na uongozi wote wa Serikali yetu uko ON THE RIGHT TRACK. Tunachohitajika kufanya na kuikosoa pale inapokosea ili isijisahau na irudi on track au siyo?!
Binafsi nadhani ni suala la elimu na muda! Kuna watu, labda hata wewe, bado wanaamini kuwa the so called developed countries au hapo nyuma HIPC, haziwezi kuendelea - kiuchumi, kisiasa, kidplomasia, kijamii n.k - hadi "zisaidiwe na mabeberu". Hawa, kama hao waendao kwa waganga na wakunga wa jadi, wanahitajika wapate elimu ya kutosha in that area na hatimaye waone faida ya upande mmoja dhidi ya upande mwingine. Suala la elimu pia ni mchakato na watu kama nyie kuachana na kasumba kuwa elimu ya nje ni bora kuliko ya kwetu,, itachukua muda. Hii siyo kweli wala siyo sahihi, nenda au fanya utafiti kidogo tu na utagundua kuwa kuna brains za Kitanzania huko nje, Ughaibuni, za kutosha na kutisha. Hata hivyo, itachukua muda kubadili this MINDSET, kwani kasumba ikiingia si rahisi kuitoa, but TIME WILL TELL.Ni heri ya pengo kuliko kubaki na jino bovu linalokuuma usiku kucha. Unaweza kuwa na shule nyingi zinazowatoa wahitimu wabovu kabisa ambao sio wamoto wala wabaridi (vuguvugu) kitu ambacho hata maandiko yanakataa watu wa hivyo. Unapokuwa na zahanati ambayo haina watumishi mahiri, vifaatiba na dawa maana yake umetayarisha kituo cha kuua au kuchelewesha watu kwenda kupata matibabu bila sababu. Ndio maana unakuta pamoja na uwepo wa zahani hizo lakini bado watu wanaenda kuonwa na waganga wa kienyeji na wakinamama kujifungulia nyumbani kwa wakunga wa jadi, hiyo ina maana kuwa mganga na mkunga wa jadi wana ujuzi kuliko wale walioko kwenye zahanati.
Hata huelewi unachosema, elimu za kienyeji zilipigwa mateke na watawala wetu. Watu waliojaribu kutengeneza magobole waliishia jela, watu waliojaribu kutengeneza pombe ya gongo waliishia jela badala ya kupewa utaalam na mtaji, watu waliotengeneza ndege waliambiwa acheni Mara moja, watu waliojaribu kutengeneza simu na redio hawakufua dafu, watu waganga waliitwa wachawi, nk. Sijui ni elimu gani ya kienyeji unasema.B
Binafsi nadhani ni suala la elimu na muda! Kuna watu, labda hata wewe, bado wanaamini kuwa the so called developed countries au hapo nyuma HIPC, haziwezi kuendelea - kiuchumi, kisiasa, kidplomasia, kijamii n.k - hadi "zisaidiwe na mabeberu". Hawa, kama hao waendao kwa waganga na wakunga wa jadi, wanahitajika wapate elimu ya kutosha in that area na hatimaye waone faida ya upande mmoja dhidi ya upande mwingine. Suala la elimu pia ni mchakato na watu kama nyie kuachana na kasumba kuwa elimu ya nje ni bora kuliko ya kwetu,, itachukua muda. Hii siyo kweli wala siyo sahihi, nenda au fanya utafiti kidogo tu na utagundua kuwa kuna brains za Kitanzania huko nje, Ughaibuni, za kutosha na kutisha. Hata hivyo, itachukua muda kubadili this MINDSET, kwani kasumba ikiingia si rahisi kuitoa, but TIME WILL TELL.
Unaufahamu mji wa Washington DC uliko kule Marekani ambako White House ipo? Paris je? Wakati Mzee Nyerere na wenzake wanazaa wazo la kuhamia dodoma usafiri ulikuwa unategemea mabasi yale aina ya Leyland CD ambayo safari kutoka DSM hadi Morogoro ilichukua masaa 16 kuwasili, usafiri wa treni, simu chache za kukoroga ambazo zilikuwa zinapatikana kwenye baadhi ya makao makuu ya mikoa na wilaya na barabara nyembamba kabisa. Leo hii wakati tunataka kukamilisha kuhamia dodoma kila mtanzania ana simu ya mkoni na television, redio. Kuna mawaliano ya intagram, whatsapp, facebook, email na twitter, zoom, google class. Tuna mkongo wa taifa, reli ya kwenda haraka, ndege, mabasi yanayokwenda haraka ya Yutone, barabara pana za lami nchi nzima, flyovers na boti za kwenda speed. Je, wazo la kukutana head quarter ya wizara bado ni kubwa kiasi gani? Kwanini mapesa ya kuhamia dodoma yasingewekezwa kwenye TEHAMA ili ili vitu vingi vifanyikie angalau kwenye Wilaya? Hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walipoona maendeleo ya technolojia inapata kasi walibadilisha vipaumbele vyao pia, dodoma ikakaa siti za nyuma na kuiweka tehema (mkongo, ujenzi wa barabara, viwanja vya ndege, SGR mbeleMkuu, kuna phyisical meeting to headquarters where we spend a lot of fuels, from far ponts like Bukoba, Kigoma kwa sasa zimepungua kwa kuwa dodoma ni katikati. India, Malaysia, Nigeria, Africa Kusini nk TEHAMA iko vizuri lakini pia zimetenganisha mji wa Biashara, Serikali na Bunge. Nadhani tusipinge kila kitu, Dodoma ni sehemu ya Jamhuri ya muungano na Tanzania na ipo katika ya Nchi!
Hata ukisema ni kwa sababu ya usalama pia sio kweli, maana siku hizi makombora yanatumia satellite, linarushwa Korea Kusini na kupiga Marekani.Hatujawa na uwezo wa kumiliki teknolojia ya tehama moja kwa moja pili sababu za kuhamia Dodoma bado hazijawa obsolete!