Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano.
Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo. Maofisa wengi wa Kitanganyika katika Balozi nyingi wameondolewa na nafasi zao kushikwa na Wazanzibari hasa wenye uhusiano wa karibu na mamlaka.
Mama Mulamula akiwa Mhaya anayejiamini kuna kila dalili kuwa alikataa ukondoo na udikteta.
Huenda upendeleo uliopitiliza kwa Wazanzibari unaweza kuvuruga Muungano.