Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Tatizo sio Muungano Bali aina ya Muungano!Hizi mbegu za Utanganyika na Uzenji zife, dunia inaungana kwa ajilibya kupata nguvu kupitia umoja , Afrika tunabaguana na kupendeleana. Tufuate sheria. Ifike sehemu hata kama ulikuwa mjumbe wa nyumba 10 lkn ukatunia madaraka vibaya ukitoka TUKUSHTAKI kama kufungwa ufungwe tu ikionekana ulitumia madaraka vibaya
Kwamfano huku Bara kuna tozo je zenji tozo zipo!!?