Hii ni zamu ya wazenji wanapendelewa balaa
Hebu saidia jukwaa hapa; weka hiyo orodha ya Watanzania Zanzibar waliojazwa ktk balozi zetu nje na balozi zipi? (Tuwe scientific, tueleze hoja kwa evidence).Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Samia utujua kuwa Waziri Mulamula akipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano...
Huu muungano fake uvunjwe haraka snWengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Samia utujua kuwa Waziri Mulamula akipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano.
Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo. Maofisa wengi wa Kitanganyika katika Balozi nyingi wameondolewa na nafasi zao kushikwa na Wazanzibari hasa wenye uhusiano wa karibu na mamlaka.
Mama Mulamula akiwa Mhaya anayejiamini kuna kila dalili kuwa alikataa ukondoo na udikteta.
Huenda upendeleo uliopitiliza kwa Wazanzibari unaweza kuvuruga Muungano.
Mzanzibari mkiguswa mnakuwa mbogoHebu saidia jukwaa hapa; weka hiyo orodha ya Watanzania Zanzibar waliojazwa ktk balozi zetu nje na balozi zipi? (Tuwe scientific, tueleze hoja kwa evidence)...
Maza anataka watu wa kumsifia basiMama hahitaji wachapakazi bali wanaomuunga mkono hata kama ni wazembe!!
Ndio màana ukijifanya kiherehere wa kufanya KAZI Sana za wananchi na kuonekana tu automatic unataka kumfunika inapigwa chini!!
Wateule wamwelewe mama!!
Yeye anataka akina Makamba, Masauni na Aweso waislamu wenzake wanamsifia vizuriSamia aache kudeal na wanaofanya kazi vizuri. Kuna mawaziri na manaibu waziri ni mizigo na hakuna lofoten wanalofanya lenye maana kwenye sekta zao zaidi ya kujipendekeza tu. Angedeal nao hao badala ya kudeal na haha experienced na at least wanaonesha uwezo
Haziwezi kufa nadhani, mtanganyika hana haki na ardhi ya visiwani, Mvisiwani anajitwalia popote atakapo bara!Hizi mbegu za Utanganyika na Uzenji zife
Ukiondoa Balozi ambaye ni mteule wa Rais; hata maofisa wengine pia chini ya balozi husika huwa wanateuliwa na Rais?Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo. Maofisa wengi wa Kitanganyika katika Balozi nyingi wameondolewa na nafasi zao kushikwa na Wazanzibari hasa wenye uhusiano wa karibu na mamlaka.
Kutesa kwa zamu. !!Hii ni zamu ya wazenji wanapendelewa balaa
Hujui nguvu kubwa ya rais katika nchi za hovyo kama zetuUkiondoa Balozi ambaye ni mteule wa Rais; hata maofisa wengine pia chini ya balozi husika huwa wanateuliwa na Rais?