Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Tatizo sio Muungano Bali aina ya Muungano!Hizi mbegu za Utanganyika na Uzenji zife, dunia inaungana kwa ajilibya kupata nguvu kupitia umoja , Afrika tunabaguana na kupendeleana. Tufuate sheria. Ifike sehemu hata kama ulikuwa mjumbe wa nyumba 10 lkn ukatunia madaraka vibaya ukitoka TUKUSHTAKI kama kufungwa ufungwe tu ikionekana ulitumia madaraka vibaya
Kama kuna marekebisho yafanyiwe kazi hii kukaa kwenye viti halafu sisi wote Tz tinanyosheana vidole haifai mbegu za chuki zinapandwa kama vipi iwe kila raia ana uhuru kokote basiHaziwezi kufa nadhani, mtanganyika hana haki na ardhi ya visiwani, Mvisiwani anajitwalia popote atakapo bara!
Upendeleo uliopo sasa ni zaidi ya uvamizi wa Russia kwa Ukraine; Raisi ni mvisiwani, kimkataba, Makamu wake pia ni Mvisiwani! Kisha Visiwani wana raisi wao, Katiba yao, Bendera yao, Nyimbo yao!
Hii ni double standard. Lkn pia kwenye mkataba wetu kumeainishwa nini ni stahiki ya huyu na yule. ZifuatweTatizo sio Muungano Bali aina ya Muungano!
Kwamfano huku Bara kuna tozo je zenji tozo zipo!!?
Hujui Tanzania wewe. Vyeo havitolewi kwa kufuata uchapakazi. Ukijifanya una akili kama za mnyama nyumbu hutakaa utumbuliwe hata siku moja.Samia aache kudeal na wanaofanya kazi vizuri. Kuna mawaziri na manaibu waziri ni mizigo na hakuna lofoten wanalofanya lenye maana kwenye sekta zao zaidi ya kujipendekeza tu. Angedeal nao hao badala ya kudeal na haha experienced na at least wanaonesha uwezo
Kuna asilimia wanatakiwa wasizidiHebu saidia jukwaa hapa; weka hiyo orodha ya Watanzania Zanzibar waliojazwa ktk balozi zetu nje na balozi zipi? (Tuwe scientific, tueleze hoja kwa evidence).
2. Mzanzibari hana haki za kikatiba kufanya baadhi ya kazi zilizopo ktk orodha ya mambo ya Muungano?
3. Cheo ni dhamana. (Soma history ya Mzee Msuya, Malecela, Kawawa uone walivyopanda na kushuka).
πππ
Sawa. Atuwekee huo mkeka anaosema "Wanzanzibari wengi wako ubalozini..." Ili tujadili kwa facts.πππKuna asilimia wanatakiwa wasizidi