NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Takataka kama Bakwata kuziita za dini ni kudhalilisha dini. Sema hao ni madrasa graduates wajasilia diniHabari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA, KKKT,Masheikh,baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.
Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla.
Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.
2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali,vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.
Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo.
Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.
3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo matatu muhimu
(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.
Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza.
Wapuuzi nyie,nyambafu!
BAR KWATA ndo TAKATAKA kabisaHabari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.
Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.
2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.
Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.
3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo matatu muhimu
(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.
Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Mnatakiwa kujiaminiKKKT tumetoa Tamko Jana Mkuu..
Tulikuwa tunapima upepo kwanza..
Tumefundishwa kuheshimu Mamlaka..Mnatakiwa kujiamini
Dini au viongozi wa dini?Kwahiyo mkuu, point yako kubwa ni kwamba hizi dini ni utapeli? Au?
TUWEKE BAYANA. KAMA NYEUAS NI NYEUSI NA KAMA NYEUPE NI NYEUPE. YANINI KUZUNGUKA MITHIRI YA PIA IZUNGUKAYO ARDHINI?
Nyie na hilo pandikizi lenu Malasusa hopeless kabisa. Uchaguzi ujao mpeni Askofu Dr. Kalikawe Benson Bagonza ili KKKT nayo ichangamke!KKKT tumetoa Tamko Jana Mkuu..
Tulikuwa tunapima upepo kwanza..
Masheikh wa Bakwata ni kama hawaelewi kama kuna tofauti kati ya dini yao, na utawala wa Samia!
Lakini hii iliyopo ni ya Kishetani!Tumefundishwa kuheshimu Mamlaka..
PointMasheikh wa Bakwata ni kama hawaelewi kama kuna tofauti kati ya dini yao, na utawala wa Samia!
Hawa wahuni wanalipwa na baressa na Rostam azizi na watoto wao wanapatiwa kazi kwa mafisadi ya kiarabu..
Ushahidi huu hapa...Hawa wahuni wanalipwa na baressa na Rostam azizi na watoto wao wanapatiwa kazi kwa mafisadi ya kiarabu..
Vibishi halafu akili havina hapo kichwani kuna uharo tu unatembea vikijisemea tunamtetea mwislamu mwenzetu Yani wao Kila jambo wako obsessed na udini.