NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
- Thread starter
-
- #21
Mkuu namaanisha wanatakiwa wawe wa kweli na wainenee haki sio kupendelea upande mmoja.Kwahiyo mkuu, point yako kubwa ni kwamba hizi dini ni utapeli? Au?
TUWEKE BAYANA. KAMA NYEUAS NI NYEUSI NA KAMA NYEUPE NI NYEUPE. YANINI KUZUNGUKA MITHIRI YA PIA IZUNGUKAYO ARDHINI?
Kweli kabisa,udini umewajaa kichwani!Vibishi halafu akili havina hapo kichwani kuna uharo tu unatembea vikijisemea tunamtetea mwislamu mwenzetu Yani wao Kila jambo wako obsessed na udini.
Kumbuka wananchi ndio wenye mamlaka.....Tafuta katibaTumefundishwa kuheshimu Mamlaka..
Mbona unahangaika sana ewe mkatoliki?!!!!! Vipi, Raisi hajazungumzia fujo na uporaji wa Mali?!!!! TEC wako wamewahi hata kitamka hilo?!!! Wanapiga mbaaali huko na kujifanya hawaioni hilo (unafiki)Habari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.
Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.
2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.
Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.
3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu
(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.
Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Usomi wako wa kindezi sana, hujaelimika Bado🤣🤣🤣Kumbuka wananchi ndio wenye mamlaka.....Tafuta katiba
This was....!
Stupid post!Habari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.
Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.
2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.
Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.
3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu
(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.
Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Samia siyo rais halali wa Tanzania, she is an illegitimate president. Rais haramu.Habari ndugu zangu wanajamvi.

Ili mwende sawa na Bi Urojo?KKKT tumetoa Tamko Jana Mkuu..
Tulikuwa tunapima upepo kwanza..
Dini ni mchongo kama michongo mingine.Kwahiyo mkuu, point yako kubwa ni kwamba hizi dini ni utapeli? Au?
TUWEKE BAYANA. KAMA NYEUAS NI NYEUSI NA KAMA NYEUPE NI NYEUPE. YANINI KUZUNGUKA MITHIRI YA PIA IZUNGUKAYO ARDHINI?
Hata mamlaka haramu? Hata kama angekuwa halali cha kwanza ni kusimama kwenye KWELI, dini(for the believers) zinawataka waamini kusimama kwenye kweli no matter what. Unasimama kwenye kweli unafia kwenye kweli, hiyo ndiyo Imani.Tumefundishwa kuheshimu Mamlaka..
Sasa kama kiongozi wa juu anakula bahasha itakuaje?Mnatakiwa kujiamini
Sheikh nenda shule kwanza.....Stupid post!
Sasa nielimike nini?? Wakati mnatoa matamko mlikuwa mnafikiri kwa kutumia makalio??Usomi wako wa kindezi sana, hujaelimika Bado🤣🤣🤣