Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

No reform no election
 
Attachments

  • IMG-20250425-WA0002.jpg
    IMG-20250425-WA0002.jpg
    86.3 KB · Views: 43
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.

Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.

Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.

Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Hamna kitu mule hotuba imejaa taarabu na vitisho. Tafuta hotuba za mkapa na Nyerere ndo utaelewa maana ya Kuhutubia Taifa.
 
Huyu mwimba taarabu ana nini la maana? Apeleke ulevi wake kule
 
Nenda angalia spana alizopigwa kule X anaishia kuficha comments na kublock watu.
 
Wananchi hawana matumaini tena ya kujiandikisha wala kupiga kura ktk uchaguzi wa mwaka huu
 
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.

Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.

Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.

Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Wananchi hawana matumaini tena ya kujiandikisha wala kupiga kura ktk uchaguzi wa mwaka huu
Huyu mwimba taarabu ana nini la maana? Apeleke ulevi wake kule
Hamna kitu mule hotuba imejaa taarabu na vitisho. Tafuta hotuba za mkapa na Nyerere ndo utaelewa maana ya Kuhutubia Taifa.

Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.

Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.

Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.

Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa
 
Mheshimiwa akubali maji yamezidi unga. Na hakuna kosa litamtesa maisha yake yote kama hili la kukubali kumshughulikia mtu kama TAL! Yaani hapa ameharibu kwa 💯%
 
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.

Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.

Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.

Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Funga bakuli lako wewe chura uliye kiziwi
 
Back
Top Bottom