ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Nimezipenda paragraph mbili za mwanzo ππNi bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.
Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Katika maamuzi ya maana yaliyofanyika na Serikali ya Rais Samia kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ni kumfungulia mashtaka Tundu ambaye alikuwa anapanga kuanzisha uhalifu ili KUKINUKISHA.Hamna kitu mule hotuba imejaa taarabu na vitisho. Tafuta hotuba za mkapa na Nyerere ndo utaelewa maana ya Kuhutubia Taifa.
Mtuweke na Sisi hapa tujifunze Mahali pakwenda na cha kuongea
Msikilize wewe QmmmkoNi bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.
Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Awe anakuwa na akili.Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.
Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Unataka tumsikilize yeye mbona hatusikilizi kwenye masuala ya reforms za tume iliyojaa makada wa kijani?Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.
Sina hakika kama hawa ni wanachama wa