Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Kuamini hii habari inabidi ile habari ya idadi ya shule za msingi na sekondari kabla na baada ya uhuru uwe hujaisikia.
 
Sasa linganisha purchasing power ya hiyo 776tshs na 2.6M kwa maisha ya sasa!watanzania middle class ni shida tupu!hii currency yetu ni uchafu fulani,ondoa hizi Zeros zote na bakisha noti ya shs 100 tu
 
Meko alikuwa mshamba na mwenye mambo ya hovyo hovyo Tanzania haijawah pata,bora hata ujinga wake ulimwondoa.Very primitive,ndo maana hata MAMA anasema mambo mengine aliyokuwa anafanya ni non sense.MEKO alikuwa jizi
Linasema"Kwa hiyo nyie mnataka kupanuliwa"
 
Nikuulize mkuu, kuna mtu yeyeto angejaribu kuweka wazi wizi wa Jiwe? Huku akujua yaliyompata CAG pale alilojaribu
Mkuu elewa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo, na huo mfumo hauna bajeti. So usiwe mgumu kuelewa wa kutaka kila kitu kukikandia. Kwa mujibu wa muundo uliopo CAG alikuwa si mwelewa na ndiyo maana kile alichokitaka walimpatia.

Hata kama tukikupigia leo wewe kuwa rais utafanya hivyo hivyo. CAG Assad ni mtu wa ideology, na anavyoona yeye ni sahihi hakuna wa kumrekebisha. Ktk maisha yetu ukweli ni mchache
 
Nani amlilie huyo takataka aliyeingia kaburini kwa upumbavu wake? ni idiot pekee anayeweza kumlilia huyo mpuuzi
Nani kwakwambia unamlilia?

Si mlesema mungu wenu amewaponya baada ya kumuondoa huyo unaemuita takataka? Mbona sasa bado mnalia na magaidi yako jela?
 
Nani kwakwambia unamlilia?

Si mlesema mungu wenu amewaponya baada ya kumuondoa huyo unaemuita takataka? Mbona sasa bado mnalia na magaidi yako jela?
Kama unamkumbuka sana MEKO uchwara kamjengee mnara chato,aliyekwambia ninalia nani? Be specific mzee
 
Kama nilivyoelezea hapo juu nasikitika kwamba kwa Sasa balaa lililopo nchini ni pembejeo za kilimo kuwa ghali kuliko kipindi chochote tangia tupate Uhuru,sioni Kama Kuna mtu anajari ,sio rais ,wizara ,Wala wa bunge wamekaa kimya wanahaingaika na Mambo yasiyo na tija kwa nchi,nawaambieni watakaolima mwaka huu ni wenye pesa tu lakini maskini hawezi kumudu kununua mfuko mmoja wa mbolea kwa 150000 /nchi yoyote iliyoendelea ilijenga misingi imara ya kumsaidia mkulima.

Naona awamu hii tunaviongozi ambao ama nimakusudi au hawana interest na kilimo kabisa, hiyo bajeti ya kilimo si agizeni mbolea mumsaidie mkulima hata kwa ruzuku?

Leo kilo moja ya mbegu ya mahindi ni tsh6000 ili upande ekari moja unahitaji kuwa na kilo 15,=90000 kwa ekar moja ,mkulima gani ataimudu Hali hii ,mnahaingaika na madaraja na kununua mindege mtakula ndege ,na hiyo midaraja ?mnatuangusha Sana Kama mtashindwa kutatua swala mbolea mapema jiandaeni kwa njaaa
 
Acha moto uwake..had watanganyika wajitambue..ndo ukomboz utaazia
 
Kama headline inavyosema hapo juu, htujasikia kuchiliwa kwa wa wafungwa kwa msamaha wa rais kuadhimisha miaka 60 ya uhuru.
 
Reactions: Lee
Kila tawala na utawala wake
 
Alafu Bibi Titi ni wa kusahaulika kweli?
Wivu tu, mwanamke wa kwanza kuchuana na wanaume unaanzeje kumsahau, labda kama hiyo ndiyo mantiki ya kuangushiwa jumba bovu?
 
Wameweza kutunyanyasa wavuvi kwakuchoma nyavu zetu halali na kuteka mashine zetu kwa kutuambia tuzikomboe kwa pesa baada yakuchomewa nahatatukikomboa tunazikuta vifaa vimeibiwa hatuna pakulalamika walapakuomba msaada natabua serekali haijawahi kutoa kibali au leseni yakuuza bangi auvitu haram lakini katika uvuvi wetu sisi tunakata leseni natukitaka kusafirisha dagaa tunalipia vibali hiyo pia nikero yetu wavuvi kata yakalya uvinza ndani ya miaka 60 yatanganyika hivyo kwenye utawala bora kunashida hapo
 
Amen!

Mungu wetu anaipenda sana nchi yetu Tanzania, ndio maana ametushushia mvua kila pembe ya nchi na ukame umeanza kutoweka, kazi za kilimo zinaendelea.

mabwawa ya umeme yameanza kujaa, Ruvu imepatapika.

Ahsante Mungu
Samia kafukuza biko 19 harpo tena tumebaki Lula hela za wazungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…