Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

Uongo na unafiki ni mbaya kuliongoza taifa kubwa kama Tanzania , hotuba ya jana ilijaza watanzania wengi hofu nakupoteza imani dhidi ya serikali yake ,serikali yenye uwezo wakulinda usalama wa raia na mali zake , lakini usalama unakosekana anasema jeshi lisilaumiwa hata nchi nyingine yanatokea , alipaswa atoe tamko lakukabiliana na machafuko haya ,, lakini chaajabu kaishia kulisify Jeshi kwa kazi nzuri, ambalo kwa sasa wanaharakati wengi wanaopotea na Jeshi limehusishwa kwa tuhuma hizo , Taifa linahitaji kiongozi mwenye kulipenda Taifa lake na watu wake wote .haijalishi anakosolewa au hakosolewi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.

Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .

Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.

Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.

Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nasikia mnalipwa elfu 8 kwa sasa kutoka elfu 7 hapo awali.

Wahi Lumumba ukapate mgawo wako.
 
Hotuba ya Rais Samia imewapa matumaini makubwa sana watanzania juu ya kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu kwa Taifa letu ,huku likiwa limejaa upendo na mshikamano. Jeshi letu lipo imara na ndio maana wetu wanaendelea kufanya shughuli na biashara zao hadi usiku wa manane. Matukio hayo machache ambayo hutokea hata kwingineko Duniani yataendelea kudhibitiwa vizuri.
 
Nasikia mnalipwa elfu 8 kwa sasa kutoka elfu 7 hapo awali.

Wahi Lumumba ukapate mgawo wako.
Sipo hapa kwa ajili ya kulipwa.nipo hapa kwa ajili ya Taifa langu linaloongozwa vyema kabisa na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.

Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .

Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.

Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.

Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Safi sana Kada wa chama
 
Back
Top Bottom