Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Wewe ndiye Mungu?Ni jina tu amebeba. Nadhani anapenda kuwadhihaki tu watanzania, huku anajua anachokiongea. Ni mkristu kwa jina siyo kwa Imani. La sivyo kama ni Mkristu kweli, ajiandae kuelekea kulle kwa kupitia ule Mlango mpana .
Yaani kwenu kuua na kutoa roho ni jambo jepesi.Kama una hasira kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile
HATA SOMALIA WANAINGIA MTANDAONITanzania ni salama na watanzania tupo salama na ndio maana hata wewe umepata nafasi ya kuingia humu jukwaani
Wanaingia mitandao wakiwa wapi? Unaanzia wapi kuifananisha Somalia na Tanzania kisiwa cha amani?HATA SOMALIA WANAINGIA MTANDAONI
Nataka uishi maisha marefu yenye amani na furaha.Yaani kwenu kuua na kutoa roho ni jambo jepesi.
Hapo unatamani unitumie kifo kwa bluetooth.
Mbona Jina zuri ulilonalo halifanani ni uwezo wako wa kufikiri? Lucas ni jina kubwa na mashuhuri.Sisi hatupo utumwani.Sisi ni Nchi na Taifa huru kabisa. Hiyo mifano yako peleka huko CHADEMA
Kwani ufikiri unaupima katika mzani upi? Wewe ndiye kipimo?Mbona Jina zuri ulilonalo halifanani ni uwezo wako wa kufikiri? Lucas ni jina kubwa na mashuhuri.
Nasikia mnalipwa elfu 8 kwa sasa kutoka elfu 7 hapo awali.Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na tumuumbe Mtu kwa Mfano wetu !Wewe ndiye Mungu?
Hotuba ya Rais Samia imewapa matumaini makubwa sana watanzania juu ya kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu kwa Taifa letu ,huku likiwa limejaa upendo na mshikamano. Jeshi letu lipo imara na ndio maana wetu wanaendelea kufanya shughuli na biashara zao hadi usiku wa manane. Matukio hayo machache ambayo hutokea hata kwingineko Duniani yataendelea kudhibitiwa vizuri.Uongo na unafiki ni mbaya kuliongoza taifa kubwa kama Tanzania , hotuba ya jana ilijaza watanzania wengi hofu nakupoteza imani dhidi ya serikali yake ,serikali yenye uwezo wakulinda usalama wa raia na mali zake , lakini usalama unakosekana anasema jeshi lisilaumiwa hata nchi nyingine yanatokea , alipaswa atoe tamko lakukabiliana na machafuko haya ,, lakini chaajabu kaishia kulisify Jeshi kwa kazi nzuri, ambalo kwa sasa wanaharakati wengi wanaopotea na Jeshi limehusishwa kwa tuhuma hizo , Taifa linahitaji kiongozi mwenye kulipenda Taifa lake na watu wake wote .haijalishi anakosolewa au hakosolewi.
Sipo hapa kwa ajili ya kulipwa.nipo hapa kwa ajili ya Taifa langu linaloongozwa vyema kabisa na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanNasikia mnalipwa elfu 8 kwa sasa kutoka elfu 7 hapo awali.
Wahi Lumumba ukapate mgawo wako.
Safi sana Kada wa chamaNdugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas wewe ni mkristo ?
Kwani na L M naye alifanyiwa hivi, kama ubatizo wake wa kuingia katika kundi hilo ? Kumbe now I understand why he thinks and acts the way he acts. Kumbe Zilishaga kuondolewa kitambo. Maskini ! Wape pole wote waliobatizwa kwa njia hii. Na wapo wengi tu I believe .
Sawa katibu wa itikadi na uenezi JF.Sipo hapa kwa ajili ya kulipwa.nipo hapa kwa ajili ya Taifa langu linaloongozwa vyema kabisa na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan