Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

Kwa hiyo hutaki kuishi maisha marefu na yenye furaha?
Mkono mmoja umeshika kisu mwingine sumu halafu unaniambia hizo wishes.

We endelea kutumikia dikteta. Kwa taarifa yako approval rate yake inakaribia 0.

Chawaz kama wewe ndo mmekuwa wakombozi wake.
 
Hotuba imebubujisha raia wote machozi ya furaha, kila mtu naona katoa kitambaa anafuta machozi tu. Ilikuwa raha mno kusikiliza hotuba iliyojaa hekima na busara na matumaini kwa raia.
 
Mkono mmoja umeshika kisu mwingine sumu halafu unaniambia hizo wishes.

We endelea kutumikia dikteta. Kwa taarifa yako approval rate yake inakaribia 0.

Chawaz kama wewe ndo mmekuwa wakombozi wake.
Ni lazima mfahamu ya kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na sheria.mmevumiliwa sana na kwa muda mrefu sana.lakini mmeendelea kuwa wakaidi na kuona mpo juu ya sheria. Sasa ni lazima mfahamu ya kuwa hakuna aliye juu ya sheria
 
Katiba ipi ba sheria ipi.

Ibara ya 18 ya Katiba inatosha kabisa kuiadabisha hii seeikali ya kuzimu
 
Sijaona hotuba ya kipumbavu kama hii tangu Carl Peters alipounda nchi ya Tanganyika
 
Alianza katibu Mkuu kwa bashraf, huku anawapooza pooza kidiploasia, akaja Mwenyekiti akawapa za uso.

CCM ndyo mama wa siasa Adrika hii, hivyo vinyangarakata havijuwi siasa, vinajuwa uharibifu tu.
 
Hivi Luca huwa una watoto ambao ukirudi wanakushangilia "baba katoka kazini"? 😹
 
Huyo lazima ni mkristo maana wkristo wengi huwa hawana hofu ya mungu
Pombe ikitoka kichwani akili yako itakurudi na utajuwa namna ulivyoandika ujinga ambao hata watoto wako wakiona wanaweza kukukataa kuwa wewe siyo mzazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…