Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Ushamba wangu umenitesa sana mkuu. Bado nina mengi sana ya kujifunza hapa duniani.Hio inaitwa teleprompter humsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba wangu umenitesa sana mkuu. Bado nina mengi sana ya kujifunza hapa duniani.Hio inaitwa teleprompter humsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
Mkuu, mimi ni kijana mmoja wa kawaida sana kaka mkubwa. Bado sijui mambo mengi sana hapa duniani. I need to learn from people like you.Mkuu acha kutuzuga hapa wewe usijue kinaitwaje?
For attacks from either sides.... I guess?View attachment 1560990
Kwa hiyo huyo dereva kashindwa kupaki gari linyooke vizuri mbona imeikinga gari ya mheshimiwa au anataka kumteka??
Wataalamu mtuelimishe kidogo pia kuhusu namna ya kupaki gari hivi
Hio inaitwa teleprompter humsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
Beam splitters,kinamsaidia mzungumzaji asome anachozungumza pasipo hadhira yake kujua kama anasoma
Wameligeuza liwe jukwaa la wasaniiView attachment 1560990
Kwa hiyo huyo dereva kashindwa kupaki gari linyooke vizuri mbona imeikinga gari ya mheshimiwa au anataka kumteka??
Wataalamu mtuelimishe kidogo pia kuhusu namna ya kupaki gari hivi
Mwambie aweke na picha ili tuone.Wameligeuza liwe jukwaa la wasanii
Picha inachelewa ku-loadView attachment 1560990
Kwa hiyo huyo dereva kashindwa kupaki gari linyooke vizuri mbona imeikinga gari ya mheshimiwa au anataka kumteka??
Wataalamu mtuelimishe kidogo pia kuhusu namna ya kupaki gari hivi
Sasa mbona maandishi hayaonekani mkuu?Hio inaitwa teleprompter humsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
Yeye anaona ila upande wa Audience hamuoni kitu zaidi ya glass tuSasa mbona maandishi hayaonekani mkuu?
Alafu Mh. Trump anazo mbili na sio mojaYeye anaona ila upande wa Audience hamuoni kitu zaidi ya glass tu
Maranyingi hadhira yake inakuwa kqenye mtindo wa semi circle kwahiyo lazima ziwekwe mbili ili akigeukia huku iwe kama upande alipotoka au unaonaje mdauAlafu Mh. Trump anazo mbili na sio moja
Kwanini unasema inaonekana kama fake? Alafu unacheka na kucheka.teleprompter YETU inaonekana kama fake ha ha ha
Mimi pia sijui hicho kifaa kazi yake ni niniKwanini katika baadhi ya "Presidential Podiums" kinakosekana?
Wengi walikuwa hawajui hiki kifaa ni nini. Hata mimi mwenyewe nilikuwa mshamba katika hili.Duh! Mi nilikuwa najua ni ka bullet proof flani hivi.
Huyu bwana wa Beam splitter nadhani hayuko sawa, Youtube wameeleza wazi jina na how it works. Sijaona sehemu yyt wametamka beam splitter!!!Nyie wawili mnanichanganya sasa hapa.