Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Ukiondoa matumizi kwa maraisi ni mtu gani mwingine anayeweza kukitumia icho kifaa
 
Hapana ndugu yangu. Mimi sio mwanausalama wala mtumishi wa idara yoyote ile ya serikali kwa sasa.

Mimi ni kijana wa kawaida sana ninayeipenda Tanzania yangu kwa dhati...
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
 
Nasikia uwa kina usika na inshu za hotuba!
Kinaweza hata kutumika kwenye mihadhara huko vyuoni au kwenye makongamano makubwa kwani kinamuwezesha mzungumzaji kusoma na kusema ayaonayo kwenye hiyo screen. Au siyo wajameni?
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Ndugu zangu watanzania;

Kifaa hiki cha glass kinaitwaje na kazi yake ni nini haswa katika majukwaa ya Rais (Presidential Podiums)?

View attachment 1560949

View attachment 1560950

View attachment 1560998

Nimekuwa nikikiona mara kwa mara katika majukwaa mbali ya viongozi wa Tanzania, Marekani, China, Russia na hata Uingereza na kukaa nalo tu moyoni ila leo nimeona sio mbaya kama nitapata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa masuala haya

Ninajua wapo wengi sana ambao ni washamba kama mimi Soldier kuhusiana na kifaa hiki na watajifunza kupitia thread hii.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

VAR hii
 
Jibu limeshapatikana ila still una comment ku update uzi kwa malengo gani hii mambo unayo sana kwenye nyuzi zako ni wazi inakera sana
 
Novemba 2020 wakati Rais wa awamu ya Tano Hayati Magufuli akihutibia bunge katika ufunguzi wa bunge la 12 MATAGA waliibuka na kumsifia Rais Magufuli kwamba ameweza kukariri hotuba yote, MATAGA walimsifia kuwa Rais Magufuli alikuwa haangalii wala kusoma popote hotuba yake wakati akihutibia bunge.

MATAGA waliendelea wakisema Magufuli ana rekodi ya muda mrefu ya kukariri mambo wakirejelea akiwa waziri wa Uvuvi kuwa aliweza kuwataja samaki wa ziwa victoria, MATAGA walisisitiza na kuongeza kuwa akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na uwezo wa hali ya juu wa kutaja barabara zote zilizo jengwa ikiwa ni pamoja na kilometa zote bila kusoma popote, huku wakisema kuwa anachokifanya bungeni siyo mara yake ya kwanza na hivyo amekariri HOTUBA YOTE naam hao ndiyo MATAGA.[emoji1787][emoji119]

Jana Kama kawaida yao wameibuka tena na kusema Samia naye ameweza kukariri hotuba yote bila kusoma popote.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23], Hakika MATAGA ni Wavivu Sana wa kufikiri.

Vioo angavu vilivyokuwa vinaonekana mbele ya Rais Samia Suluhu vinaitwa Teleprompter ndiyo ni TELEPROMPTER, hiki ni kifaa ambacho humsaidia mtu anayezungumza na maandishi ya elektroniki ya hotuba, kifaa hiki huelekeza lensi ya maandishi moja kwa moja kwenye macho ya mzungumzaji kwa kutumia vioo hivi angavu vilijulikanavyo Kama teleprompter, naam hiki ndicho kifaa kiitwacho teleprompter.

Hii siyo mara ya kwanza marais wa nchi yetu kutumia kifaa hiki kusomea hotuba, Kwa mara ya kwanza kifaa hiki kilitumika na Rais Kikwete mwaka 2014 wakati wa ufunguzi wa bunge la Katiba, wakati huo Anna Semamba Makinda akiwa spika wa bunge la Tanzania. (Pangusa picha kulia kuona, Swipe right to see). Kifaa hiki kilitumika na Rais Hayati Magufuli katika ufunguzi wa bunge Nov 2020 Kama nilivyosema awali, na jana kifaa hiki kimeweza kutumika na Rais wa awamu ya Sita mama yetu Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia bunge na Watanzania bungeni Dodoma. Sasa MATAGA utasikia wakisema rais amekariri hotuba....AJABU!!

Teleprompter ni kifaa kilicho gunduliwa rasmi mwaka 1950 na Fred Barton Jr, Hubert Schlafy pomoja na Irving Berlin Kahn.

Kwa mara ya kwanza Rais wa Marekani Bwana Lyndon Johnson alitumia teleprompter wakati akitangaza Sheria ya Haki za Kiraia ya 1964.

Ndugu zangu MATAGA tumeelewana?? Wasukuma pele nyuma je??

Acheni kutuletea stori za abunuwasi hapa kuwa rais anajua kukariri na hasomi popote...Tumeelewana???.

[emoji2398] Kumbusho Dawson KagineView attachment 1761674View attachment 1761675View attachment 1761671View attachment 1761672View attachment 1761673View attachment 1761676
images%20(5).jpg
 
kwani kifaa chenyewe kinabisha ?
 
Sisi kama matanga tumekataa kuamini propaganda zako mkuu hiyo ni bullet proof.
 
Back
Top Bottom