Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Kuna Mzee anafatilia mafao yake ya kustafu then anaambiwa atapigiwa simu yani hii CCM inaumiza watu wengi sana ,ni swala LA mda tu
 
Neno " kuifanyia formation mpya idara ya police" maana nayo inajiona ni jeshi na wajinga wanalitumia kama punda kukandamiza haki za watu.

Hapo Lissu tunataka ukifumue hicho kichaka "police" ni utopolo kabisa
 
Hotuba ya Lisu imejaa harakati.

Hizo angewaachia kina fatuma karume
 
CCM ya sasa imeinua uchumi upi? Miaka minne watumishi wa umma hawajalipwa nyongeza ya mshahara, thamani ya shilling inazidi kushuka dhidi ya dola licha ya uchumi wa marekani na ulaya kuyumba vibaya, hakuna unafuu wa maisha kwa watanzania zaidi ya Ndungai kujichukulia bilion 12 kienyeji na Tilion 1.5 imepigwa na wajanja wachache wa CCM wakaishia kumtoa kafara CAG
 
A
atafanyia kampeni wapi.
 
Ukiwa umekariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM ni vigumu kuweza kuelewa kitu kingine
 
Eti wana JF kuhusu wawekezaji boss Tundu amesemaje? Make JPM alivyozuia mchanga wao alisema taifa tutashitakiwa na kufilisiwa.
Kwa taarifa yako mchanga uliendelea kwenda nje kwa Siri kubwa ndiyo maana wazungu walipiga kimya
 
Upuuzi tu hana jipya,adanganye wapumbavu wenzake.
Wewe mwenyewe ni mpumbavu mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua jipya? Kwenye siasa za Tanzania jipya ni lipi? Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, jipya utaona pindi mungu akisimama na kuiondoa shetani Tanzania
 
Sipati picha na mbele naona giza, najiuliza tukimpa nchi mkuu kweli hatotuumiza??
Verse 1
 
Wewe mbwiga ile ilikuwa kutangaza nia ya kugombea, bado hajapitishwa mengi ataongea wakati ukifika mbona nyie kamongo mna vichwa vigumu kuelewa?
Hata mtu asome vipi akiingia CCM tu Akili zote humtoka na kubakia kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa
 
Unajipunguzia heshima kurejea madai yale yale kila mara kama kasuku. Hoja iliyopo ni nia ya Lissu kugombea Urais kwa hoja zake hizo.

Kuhusu madai yako hayo, kuna tofauti kubwa kati ya CCM na CHADEMA. Wakati CCM ina uthibitisho kuwa zaidi ya 85% ya ahadi zilizo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 zimetekelezwa, CHADEMA ina nini zaidi ya kuwalaghai wabunge wake kuchangia maaendeleo ya chama kumbe wananufaisha mtu mmoja.

Hakuna shaka CHADEMA watakuwa na wakati mgumu kujitetea mbele ya wapiga kura na vigumu zaidi kumnadi Lissu iwapo watamsimsmisha kama mgombea wako. Kuna ushahidi ulio wazi kuwa Lissu alilitelekeza jimbo lake la uchaguzi ambalo liko nyuma kabisa kimaendeleo katika nchi hii. Huyu mtu kweli ndiye wa kumpa uongozi wa nchii hii? Du, hakika akutukaye hakuchagulii tusi, wahenga walinena.
 
Mh.Tundu Lissu, nakuona kwa mbali unataka kuwapa zawadi watanzania October 25, 2020.
 
Sipati picha na mbele naona giza, najiuliza tukimpa nchi mkuu kweli hatotuumiza??
Verse 1
Huyo mliyempa akaisiginya katiba na Sheria kwa kumteua Naibu Rais Daud Bashite kienyeji na kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge Mbona hujaona mbele giza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…