Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Moyo wangu unateseka sana CCM siku moja ikiondoka madarakani itakuwa furaha yangu kubwa ya maisha ni bora hata nikawa maskini wa kutubwa lakini hili dubwana liondoke
Hili dubwana limekosa pumzi
 
Nilichofurahia sana, sio jukumu la serikali kufanya biashara, serikali ibakie kuandalia watu mazingira mazuri ya watu kuwekeza na hilo halipo kabisa katika utawala huu ambao unadhamiria kuua sekta binafsi.

Pia nchi imepoteza kabisa heshima iliyokuwa nayo nje hasa baada ya serikali kujiingiza katika vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu na dhuluma kwa watu wake.

Pia taasisi ambazo zinatakiwa kuwa huru kama bunge na mahakama zimetekwa nyara na ikulu kiasi kwamba mahakama hazitoi tena haki ila zinatumika kukomoa wapinzani.

Tundu Lissu anafaa hii fursa ambayo wengine wakiipata japo kwa ngekewa tu bila kuwa na sifa ya kuipata huaribu kabisa na kuonekana kweli wamebahatisha. Go Lissu go, you deserve it.
 
Kuna mamtu yana roho mbaya sana alafu yanajikuta macha Mungu.
 

Na nitawashangaa sana vijana,watumishi ambao mishahara yao imeganda wakimchagua huyo jamaa wa sisiemu
 
2020 kuna kaz ki ukwel

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Lumumba wanatetemeka huko,sasa wanajiandaa na mbinu za wizi
 
Of course hayawezi kuwa ya kweli kwa mtu mwenye uelewa mdogo kama wako.

Nchi sio mali ya Rais, ni ya waTanzania. Hilo ndilo gumu kwako kulielewa na kukufanya uonekane kioja.

Watu kama wewe mpo wengi ndani ya nchi hii, na limekuwa tatizo kubwa sana kwetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…