Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Hahaha, umeshakuwa nabii??
 
Tatizo lako lipo kwenye uelewa. Tulia tafakari upya majibu utayapata
Hakuna cha kutafakari bro. Tafakari wewe. Wengine sisi hizi ndio anga zetu. Nenda Marekani halafu utangaze kugombea urais wa Marekani ukiwa Mexico uone kama utaupata!
 
Kwa maelezo yako hayo, ni vyema ukawasidia majirani na ndugu zako nao wawe na "purchasing power" kama wewe, hakika umaskini kwao utakuwa ni ndoto. Tofauti na hilo, tafakuri upya uwewe.
Mfumo mzuri ndio uchochea purchasing Power,
 
Siku hizi vijana wanywa viroba hawapatikani bro si viroba hamna na Serikali ya JPM imewafanya kujitambua hakuna ushabiki wa kinyumbu nyumbu tena kwa vijana wengi kwa sasa.
 
Tunataka mtu wa haki sio mtu wa mabavu
Endelea kusubiri ikufwate haki mkuu .Hata huyo unayemsadiki akifanikiwa utaona mziki wake. Politics siku zote ni bad and dirty game.Tuendelee kupambana na maisha yetu.Hakuna jipya.
 
Siku hizi vijana wanywa viroba hawapatikani bro si viroba hamna na Serikali ya JPM imewafanya kujitambua hakuna ushabiki wa kinyumbu nyumbu tena kwa vijana wengi kwa sasa.
Lakini mkuu, kuna wengine humu JF wana vijitabia kama walificha "viroba" vya enzi zile!
 
Mkuu kwani maendeleo ni Nini?ukiwa na akili nzuri huwezi ukasema maendeleo ni mafly over and the like?
Maendeleo ni pamoja na uhuru wa wananchi maendeleo ni pamoja na mihimili mitatu ya dola kufanya kazii kwa uhuru na kutoingiliana katika majukumu.

Maendeleo ni pamoja na kuwa na katiba mpya ambayo ndio msingi wa utawala na msingi wa maendeleo ya nchi,.
Makaburu Afrika Kusini walijenga shule,hospital ,wakajenga flyovers na miundo mbinu mingine ya kiuchumi na kijamii, lakini wanachi hawakufurahishwa na kukosa kwao uhuru,walitaka uhuru zaidi ya majengo

Kwahiyo maendeleo ya kwanza ni kuwa na uhuru!
 
Nimeipenda hii "Visasi ni upanga wa walio waoga na dhaifu,sio ngao ya walio jasiri"
 
Mheshimiwa Rais msomi Tundu Lissu ameshamaliza. Kazi kwenu vilaza mob wa MATAGA
 
Endelea kusubiri ikufwate haki mkuu .Hata huyo unayemsadiki akifanikiwa utaona mziki wake. Politics siku zote ni bad and dirty game.Tuendelee kupambana na maisha yetu.Hakuna jipya.
Hoja yako hapa ni ipi wampe JPM au wampe Lissu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…