Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Nimeipenda hii "Visasi ni upanga wa walio waoga na dhaifu,sio ngao ya walio jasiri"
2020-2025 utawala wa haki na sheria [emoji111][emoji111][emoji111]
Hakika ameonesha nia anayo na uthubutu anao anastahili kuungwa mkonoWatanzania, twendeni na TL. Tuirudishe heshima ya Taifa Letu.
Umezindukia wapi we binti?Ndugu zangu,
Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.
Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
TL ametoa hotuba nzuri sana inaleta matumaini mapya katika nyanja zote kiuchumi na kijamii inaponya majeraha,inaonyesha matumaini ya uhuru wa wananchi ambao unazidi kupotezwa.
Inaleta matumaini ya mahusiano mazuri ya kimataifa na kuondokana na dhana ya "ubeberu"
Inaleta matumaini ya sekta binafsi kuongoza uchumi wa nchi badala ya serikali kufanya biashara jambo ambalo linaleta mgongano wa kimaslahi.
Imeleta matumaini mapya ya kuleta katiba mpya ya wananchi, ambayo itaondoa ukiritimba wa kiimla kutoka kwa watawala.
Inaleta matumaini ya maridhiano kataifa kuondoa uhasama unao zidi kukua kati ya wanavyama wa vyama tofauti Tz
Ni hotuba inayo ponya inayotibu inayotia matumaini.
Hongera TL kwa kuonyesha nia
Andika yako tuione, kama essay tu zilikushinda form 4 utamuweza mwanasheria???Daah Lisu kweli utopolo yaani kajaza mimaneno kibao na sentensi kama upoyoyo wa makinikia hajui kusummarize repetition kibao kaweka zinki, zebaki, helium, copper, vuluvululu. Kichwani kumevurugika kbsa. Yelewi....wakosha...hiiiii!!
Naona amezungumza kero za waliomtuma lakini siyo za watz!Ndugu zangu,
Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.
Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.Ndugu zangu,
Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.
Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Eti sitakimbia kijijini, sasahivi uko wapi? Ukiwa Rais si utauza nchi kwenda kuishi Ulaya Kweli maajabu hayataisha duniani.
Sent using jamii forums mobile app
We unaumia nini?? Hata mimi nitamchukulia formAtangazie nia huko ila ajue form hawachukulii huko...
Lisu anatapatapaNdugu zangu,
Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.
Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Kuna hoja hapo ya kujibu? Naona kuna upoloto tu. Kero alizozizungumza si za watz labda za hao mabeberu waliomtuma na wanasaccos.Umezindukia wapi we binti?
Nitajie mwanasiasa mmoja tuu anayeweza kujibu hiyo statement ya Lissu ya kutambulisha umma nia na lengo lake? Mmoja tuu, maana inajulikana wazi mzee wa barakola hawezi itakuwa kumuonea tuu.
Hapa ndio tunakumbuka maneno ya Polepole kabla hajaharibikiwa akili.
View attachment 1472337
Kama sio huru mnashiriki uchaguzi wa nini? Kama sio ukiazi ni Nini?Toeni hii tume ya chato wekeni tume huru muone kama mtatoboa
Hata mimi kura kwangu kwa Lisu, jiwe akakae juu ya wawe tu