Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

Utashangaa hayo matokeo hayapingwi popote. Kweli demokrasia bado sana
Anakusalimia.
IMG-20200726-WA0027.jpg
 
Lazaro Nyalandu tunamjitaji asiondoke
Kama akitaka kuunganisha nguvu, we need him so soo much!! Ila kama akiona haifai aachwe aende, kanda anayoiongoza (ya kati) Lissu ni popular kuliko Nyalandu.

Lissu upepo wake jimboni ulikuwa unamtikisa hadi Nyalandu jimbo la jirani, in short umuhimu mkubwa wa Nyalandu ni kumnadi Lissu kanda ya kati ambapo hata hivyo naweza kupaita kama strong hold ya Lissu kwani anakubalika sana.
 
Nyalandu muoga muoga sana yule,analetaga busara nyingi sehemu zisizohitajika.
Namjua Nyalandu tangu kaanza safari ya kisiasa akiwa kijana mdogo, itoshe tu kusema hawezi kuwa mpinzani wa kweli.
 
Huyu kamanda Lazaro Samuel Nyalandu tunamhitaji katika serikali yetu mpya, anafaa nafasi za kidiplomasia kama balozi au hata waziri wa Mambo ya Nje.
Endeleeni kuota. Fikiria 2015 mlikua na Mamvi bado mkakaa itakua 2020
 
Ni Silinde mkuu, huyu Lusinde ni wa mboga mboga.
Hahaha asante kwa kunisahihisha mkuu. Kwa kukiwakilisha chama cha CHADEMA kwa nafasi ya urais hawa wasaliti wangekuwa na uwakika wa nafasi zao, lakini hawakuona mbali.
Vijana wenzangu wameniangusha
 
Lisu alistahili ushindi...Kwanza sio muoga, pili anaongea cha haki.

Leo Lisu amejieleza kuwa atasimamia Ilani ya Chadema, na kukumbusha viongozi kuwa huu uchaguzi sio lelemama. Kudos

Tusimwache Yule Mdada na tumshike Nyalandu. Ni demokrasia, tusimkebehi yeyote.

Member atuunge mkono, ACT wazalendo Haina mtaji Kama Chadema
 
Hahaha asante kwa kunisahihisha mkuu. Kwa kukiwakilisha chama cha CHADEMA kwa nafasi ya urais hawa wasaliti wangekuwa na uwakika wa nafasi zao, lakini hawakuona mbali.
Vijana wenzangu wameniangusha
Pengine Mungu aliruhusu haya mapema!! Imagine unapanga mikakati yako na hawa vijana ni wajumbe wa mkutano mkuu, habari zinauzwa asubuhi tuu.
 
Hotuba zao zilikuwa tofauti mno, hotuba ya Lissu inakuamsha hata kama unasinzia. The guy was born to be a leader. May God Bless Him.
He was born to be activist
 
Back
Top Bottom