Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

Huyu kamanda Lazaro Samuel Nyalandu tunamhitaji katika serikali yetu mpya, anafaa nafasi za kidiplomasia kama balozi au hata waziri wa Mambo ya Nje.

Tusimfanyie mzaha na tumpe Heshima yake, na tumtumie vizuri.
 
Hey mkuu can you please put it in here, some of us didn't hear it. It looks like it was really of political and true transmissive and inspirationally.

3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Tundu Lissu mbele ya wajumbe wa Baraza Kuu



Hotuba iliyompelekea Tundu Antipas Lissu kupata kura nyingi za wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA kupendekeza jina lake lipelekwe mbele ya Mkutano Mkuu Maalum wa CHADEMA kumthibitisha kugombea nafasi ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano w Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 October 2020.
Source : ABC Habari
 
Pengine Mungu aliruhusu haya mapema!! Imagine unapanga mikakati yako na hawa vijana ni wajumbe wa mkutano mkuu, habari zinauzwa asubuhi tuu.
Hahaha wanakufyekelea mbali kimwili na kichawi ingawa mipango ya Mungu huwa daima haipingwi Lissu ni mpango wa Mungu hakika
 
Lisu alistahili ushindi...Kwanza sio muoga, pili anaongea cha haki.

Leo Lisu amejieleza kuwa atasimamia Ilani ya Chadema, na kukumbusha viongozi kuwa huu uchaguzi sio lelemama. Kudos

Tusimwache Yule Mdada na tumshike Nyalandu. Ni demokrasia, tusimkebehi yeyote.

Member atuunge mkono, ACT wazalendo Haina mtaji Kama Chadema
Vikao vya CHADEMA na ACT viendelee ili Membe amuunge mkono TLS ili wajenge serikali moja kama watafanikiwa kushinda uchaguzi mkuu 2020
Kuna MTU Fulani some where pressure iko juu muda huu
 
Na Nassari kule Meru, bila kumsahau Calist Lazaro na Gerkul..
Wajumbe ni blaa
Kimsingi wajumbe siyo balaa,Bali hao wasaliti kina Nasari et al walijitoa fahamu kujua km ccm Ina wenyewe,na wanaccm walikua walishaandaa watu wao tyari,leo unakuja msaliti na tamaa zako unataka uteuzi.Gulio limeisha.
 
Ila kumfukuza Membe ccm kwa kutaka kuchukua form ya kugombea uenyekiti ndiyo demokrasi na kisha kumpa sumu Mangula kwa kupinga Membe kufukuzwa ccm.

Utashangaa hayo matokeo hayapingwi popote. Kweli demokrasia bado sana
 
Wajumbe wamemfanyia Nyalandu(ex-CCM) kitendo kama walichofanyiwa Ex-CDM ndani ya CCM
Ila kwa Nyarandu ni tofauti na hao uliowataja X CDM. Mh Nyarandu ana miaka zaidi ya miwili ndani ya chama, na hakukuwa na msukosuko wowote wa kimaslahi uliomwamisha kutoka chama kile ila tukio lililomkuta ndugu yake wa sehemu moja na kukataliwa kwenda kumtembelea hospitali, ila yeye alienda kuonesha thamani ya undugu na Utanzania tulioasisiwa tangia nchii hii inapata uhuru.
Mambo ambayo hawa ndugu zetu wameyasahau na kuyafanya yale ya siasa za Congo na Zaire
 
Vikao vya CHADEMA na ACT viendelee ili Membe amuunge mkono TLS ili wajenge serikali moja kama watafanikiwa kushinda uchaguzi mkuu 2020
Kuna MTU Fulani some where pressure iko juu muda huu
Nadhani makubaliano ya safari hii yawe simple tu, Act kupitia Maalim Seif waachiwe Zanzibar then wao waiunge mkono Cdm kwenye urais bara.

Pasiwepo uhusiano wa ndani zaidi ili kuepuka ya kina Sumaye na Lowasa, nadhani muungano uishie kwenye jukwaa la kampeni basi na tena ziwe ni team tofauti zinapita huku na kule sio jukwaa moja wapande wote.

Act wanaweza kuachiwa majimbo hata matano tu ambayo wana nguvu kiasi ila wagombea wa Cdm wasijitoe kuepuka watu kuuza majimbo, hawataki kila mtu apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom