Nyalandu muoga muoga sana yule,analetaga busara nyingi sehemu zisizohitajika.Hotuba zao zilikuwa tofauti mno, hotuba ya Lissu inakuamsha hata kama unasinzia. The guy was born to be a leader. May God Bless Him.
Anakusalimia.Utashangaa hayo matokeo hayapingwi popote. Kweli demokrasia bado sana
Kama akitaka kuunganisha nguvu, we need him so soo much!! Ila kama akiona haifai aachwe aende, kanda anayoiongoza (ya kati) Lissu ni popular kuliko Nyalandu.Lazaro Nyalandu tunamjitaji asiondoke
Anachanja Tena? Kweli Ufipa wamejaa misukule. Uchumi wa Kati tayari, National Carrier, SGR, Stiglers Gorge n.kMwanaume wa shoka ana chanja tu hajui kisiki wala kigogo
Ni Silinde mkuu, huyu Lusinde ni wa mboga mboga.Bila kumsahau Lusinde
Hey mkuu can you please put it in here, some of us didn't hear it. It looks like it was really of political and true transmissive and inspirationally.His apeech was so good
Don't forget that it's a LOW - MIDDLE INCOME COUNTRYAnachanja Tena? Kweli Ufipa wamejaa misukule. Uchumi wa Kati tayari, National Carrier, SGR, Stiglers Gorge n.k
Baada ya Membe kukatwa CCM?Naamini sitapiga kura!
Lazaro Nyalandu tunamjitaji asiondoke
Namjua Nyalandu tangu kaanza safari ya kisiasa akiwa kijana mdogo, itoshe tu kusema hawezi kuwa mpinzani wa kweli.Nyalandu muoga muoga sana yule,analetaga busara nyingi sehemu zisizohitajika.
Saidia baba.Anachanja Tena? Kweli Ufipa wamejaa misukule. Uchumi wa Kati tayari, National Carrier, SGR, Stiglers Gorge n.k
Endeleeni kuota. Fikiria 2015 mlikua na Mamvi bado mkakaa itakua 2020Huyu kamanda Lazaro Samuel Nyalandu tunamhitaji katika serikali yetu mpya, anafaa nafasi za kidiplomasia kama balozi au hata waziri wa Mambo ya Nje.
Hahaha asante kwa kunisahihisha mkuu. Kwa kukiwakilisha chama cha CHADEMA kwa nafasi ya urais hawa wasaliti wangekuwa na uwakika wa nafasi zao, lakini hawakuona mbali.Ni Silinde mkuu, huyu Lusinde ni wa mboga mboga.
Pengine Mungu aliruhusu haya mapema!! Imagine unapanga mikakati yako na hawa vijana ni wajumbe wa mkutano mkuu, habari zinauzwa asubuhi tuu.Hahaha asante kwa kunisahihisha mkuu. Kwa kukiwakilisha chama cha CHADEMA kwa nafasi ya urais hawa wasaliti wangekuwa na uwakika wa nafasi zao, lakini hawakuona mbali.
Vijana wenzangu wameniangusha
He was born to be activistHotuba zao zilikuwa tofauti mno, hotuba ya Lissu inakuamsha hata kama unasinzia. The guy was born to be a leader. May God Bless Him.