Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Nadhani haya mambo ya Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani yangefutiliwa mbali.

Kujadili kitu hewa ni kupoteza muda na kulifanya bunge liwe la muda mrefu bila sababu.

Hotuba na bajeti ya serikali ndiyo ya kujadili na kukosoa mana ndiyo inayotumika kuleta maendeleo.
Hiyo nyingine ya kina Mbowe ni Mbwembwe tu za kutupotezea muda.

Wapinzani achaneni na mivutano inayoanzishwa na Ndugai na ikiwezekana mtoe hoja ya kufutwa kwa hotuba ya Kambi ya Upinzani au serikali kivuli.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri makini sana huu.
 
Unaropoka! Mbona husemi yaliopo kwenye hiyo hotuba ambayo yamesababisha isisomwe"?
Kuhusu taratibu za bunge, ni utaratibu gani umevunjwa!?

Jiulize kwanza kabla hujaanza kutetea tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikasema, wasikilizwe bali wengi waamue . Tatizo liko wapi ?!

Odhis *
 
Wewe ndio kati ta wale Mzee Tupatupa alikuwa anawazungumzia humu LB7,mnakufa na tai shingoni!
Sidhani kama una nafuu nilizo nazo. Anyway, kama ndo sisi haina taabu tutaendelea kukataa upumbavu wenu humu jf na mitaani; nanyi muendelee kupoza hasira humu jf maana hamna namna njingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…