Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Bunge letu halijawahi kuwa na spika boya kama huyu.

Sheria mbovu na kandamizi ndio zime tufikisha hapa ,Spika anasema ina Makosa na hairuhusiwi kusomwa.Swali ,Sheria walizo jiwekea endapo Mbunge/Wabunge watafanya Makosa zina maana gani !?.

Hivi Spika hafahamu Bungeni panatakiwa Mijadala Huru ili kuweka mambo sawa !?.Yani anatamani/anataka Wapinzani wawe na Mawazo sawa na CCM !?...Real !!!?
 
Waiweke hiyo hotuba kwenye tovuti yao ili isomwe vizuri na makamanda uchwara.
 
Umeisoma hiyo hutuba[emoji34][emoji34]? Weka hapa na sisi tuione!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika ana akili sana! Kwanini tupoteze muda kusikiliza upumbavu wa kijikundi cha wapumbavu. Kwa sasa kuna mambo mengi ya kufanya na sio kusikiliza upumbavu.
 
Hali isiyo ya kawaida kivipi? We umesikia makosa yao yote toka kwa spika halafu unatetea upumbavu.

Mkuu ,Hali isiyo kuwa ya kawaida it means utaratibu umevunjwa/ume kiukwa.Hilo ni la kwanza.

Pili tunaomba utuainishie Makosa walau mawili na sisi tujue tuna simamia wapi katika uamuzi wa Mh Spika.
 
Hotuba imetulia mbaya, kama kuna upotoshaji serikali ingejibu sio kuzuia hotuba
 
Spika ana akili sana! Kwanini tupoteze muda kusikiliza upumbavu wa kijikundi cha wapumbavu. Kwa sasa kuna mambo mengi ya kufanya na sio kusikiliza upumbavu.
Kama ana akili na siyo mpumbavu Kama ulivyowalebo wengine, kajikutaje Kati ya kundi lisilomhusu? Naye ni mpumbavu tu kwani ni mbunge Kama wao na humkwepeshi kuwa mpumbavu mteule Kati ya wapumbavu wanaojitambua na kujiamini!
Vinginevyo wewe na ndugai hamuielewi dhana ya bunge la vyama vingi na linatakiwa kuendeshwaje! Kubali kuwa anakosea sana kwa kuwanyima wananchi kujua hotuba Ile Ina Nini la kujadili ili waamue kuwaunga au kutokuwaunga mkono!
Ona Sasa alivyoamsha shauku ya wananchi kutaka kujua kilichokataliwa kwani hotuba yote ipo mitandaoni na watu hawajausoma huo upumbavu uliousema!
Kamwambie aache kuharibu mazuri ya ccm yenu kwani he is not the last man katika match ya octoba!
 


Maneno matatu ya mwisho ktk kitabu cha Kuli ni "Haya yana mwisho." Na mwisho wake unaanzia kwenye mchakato wa kukomesha imperial presidency
 
Mnasihi,
CCM hawategemei kura kukaa madarakani, hata katibu wao mkuu ameshasema wanategemea dola.
Kama ndivyo sawa! Ila wasijisahau Sana kuwa Pompeo na timu yake wapo Rada wanawachora! ICC itawahusu wakifanya mzaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…