Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Asante
 
Mwisho wenu umefika rasmi , wanafiki wakubwa nyie !
 
Watia huruma. mlichotaka wewe na aina yako ni kuimarisha unafiki bungeni? Kunyamazisha sauti na mijadala inayohusu unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za WANANCHI biadamu wenzio ili tu kumfurahisha mkandamizaji? Wakati huo ushapita. Sauti za haki zitatoka tu na kuwafikia wananchi wote. Kujitoa fahamu kwao na akina Ndugai hakutasaidia. Amen
 
Mbona ipo okay aana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ipo okay aana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama una nafuu nilizo nazo. Anyway, kama ndo sisi haina taabu tutaendelea kukataa upumbavu wenu humu jf na mitaani; nanyi muendelee kupoza hasira humu jf maana hamna namna njingine.
Bahati mbaya ni kuwa mbele ya haki, mapambio yenu yanazidi kupwaya, hayawezi kufunika harufu yote ya ukatili na unyanyasaji wa mtu wenu. Makaburu SA, Bokassa CAR walikuwa na ujeuri kuliko huo. Amen
 
Hadi ukabila? nao mmeweka kwenye hotuba? mbona mna hisia kali sana kwenye jambo lisilokuwepo mazee!
 
Kwakweli hotuba imejaa vijembe na upotoshaji tu

Naona mbowe alimwachia mdee ili aisute serikali, hotuba haijaandaliwa na msomi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…