Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Mathayo : Mlango 12
34 Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
 
Mtu mpumbavu, akiambiwa ukweli kwamba yeye ni "mpumbavu" ni lazima tu atawaka na ama kurusha ngumi.
Hilo ndilo kambi rasmi ya upinzani bungeni wamefanya.
Na hayo yaliyotokea ni alama wazi kwamba ujumbe umefika kunako mfupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwa unavyojua wewe, msomi ni nani???
Unadhani yule profesa wa jalalani angeweza kutema madini kama haya?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi huandika kile anachoweza kuthibitisha empirically, ukiona andiko linalokisia mambo, ujue limeandikwa na maamuma

Huyo Dokta wa jalalani ni nani?
 
Reactions: UCD
Hiyo hotuba sio kwa akili ya kuwafurahisha kondoo wa jiwe, ni ya ukweli mtupu.
Mimi sizungumzii hotuba ya wanasaccos bali nazungumzia nilichokiquote hapo!
 
Mbona tumeisoma,wanafikili kwa mbinu zilezile za kizamani.
 
Stawisheni kwanza CHADEMA kama mnao uwezo wa kustawisha nchi.
Siku zijazo itabidi mfanye maamuzi magumu muokoe chama nchi Ife Kama Zimbabwe , au muokoe nchi chama kife Kama KANU ya kenya siku hizo zinakuja
 
Kwa ujinga wako huu, unafaa kuwa mshauri wa jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…