Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawakubali basi na tuuvunje tu muungano ili kila nchi ijiendeshe kivyake kuliko huu unafiki wa serikali tatu
Zikishatengenezwa hizo DVD zisambazwe kwa wananchi. Pia isambazwe kwa njia nyingine yoyote iwe ni kutengeneza mp3 n.k! Hususani ufafanuzi juu ya Muundo wa Muungano! Hii itawezesha kupata ukweli usioegemea upande wowote.
Kazi hii ifanywe na WanaHarakati au wengineo wenye mapenzi mema na nchi yetu! Ripoti yake inaelezwa reality na haiko biased
Hivi jamani ee samahani kwa kuwachepua nje kidogo ya mada, kweli yote haya yanayoendelea kuwasilishwa na Warioba yangewezekana kuwasilishwa kwa dakika 120 tu? Hisia zangu ni kua wachezaji wa timu 'ile' hasa kiungo mkabaji ni MNAFIKI SANA, tumwogope kama shetani. Asanteni, karibuni tuendelee na kumsikiliza Warioba.
Ameniudhi tu anapotetea muungano lakini anapendekeza serikali tatu. Ningemuona wa maana kama angependekeza serikali moja
Nimegundua kwanini Sitta alitaka Warioba atumie dk 60 tu kumbe alijua hizi nondo zingewaacha uchi.......sasa naelewa.
Ahsante mkuu. Ila namshangaa muda mrefu anatafakari. Sijamuona akishangilia hata mara moja kama afanyavyo Lissu
Kiukweli Warioba leo anawasilisha maoni halisi ya wananchi, nimeshawishika kukubaliana na maelezo yake.
"Kama kuna jambo moja ambalo wazanzibari wa makundi yote wanakubaliana, ni Zanzibar kuwa nchi" kasema Warioba.
mh mwenyekiti ni bonge la mnafiki
Kwanini baadhi ya pesa za kukodia chopa itakayotumika Chalinze isitumike kutengeneza hizo DVD.