Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hahahhhahh.....Warioba leo anawachana vibaya vibaya mpaka aibu..
Mkuu, kinachonipa hofu ni kuona wabunge wa Zanzibar bila kujali itikadi zao wanashangilia sana hotuba ya Warioba. Wana ajenda ya siri hawa
 
"Kama kuna jambo moja ambalo wazanzibari wa makundi yote wanakubaliana, ni Zanzibar kuwa nchi" kasema Warioba.
 
Nimegundua kwanini Sitta alitaka Warioba atumie dk 60 tu kumbe alijua hizi nondo zingewaacha uchi.......sasa naelewa.
Mkuu, kwani kama angetumiahizo dakika kueleza mambo haya si ingekuwa vema tu?
 
Naangalia na kusikiliza Hotuba ya kihistoria kutoka kwa JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA!
 

Kwanini baadhi ya pesa za kukodia chopa itakayotumika Chalinze isitumike kutengeneza hizo DVD.
 

Kaka hujatutoa nje huu ni hualisia kuwa Kiungo alitaka kuchezesha yake.
 
Ameniudhi tu anapotetea muungano lakini anapendekeza serikali tatu. Ningemuona wa maana kama angependekeza serikali moja

Si amekupa sababu,unatakaje apendekeze jambo lisilowavutia Washirika,kwani tunaungana peke yetu(Tanganyika),kila muungano ameeleza chanya na hasi
 
Nimegundua kwanini Sitta alitaka Warioba atumie dk 60 tu kumbe alijua hizi nondo zingewaacha uchi.......sasa naelewa.

Umeona ee? Namba kumi kasoro nne ni bonge la bweggge bweggge tena puumbaavuuu.
 
"Kama kuna jambo moja ambalo wazanzibari wa makundi yote wanakubaliana, ni Zanzibar kuwa nchi" kasema Warioba.
Hakika mkuu. Na wazanzibari wote nimewaona wanashangilia hilo. Wqna ajenda ya siri
 
Kiukweli Warioba leo anawasilisha maoni halisi ya wananchi, nimeshawishika kukubaliana na maelezo yake.

Leo ndo cku nloelewa vizuri izo kero za muungano kwa kumsikiliza uyu baba.No wei serikali 3 ndo suluisho.
 
mh mwenyekiti ni bonge la mnafiki
Mwenyekiti gani mkuu. Maana kwenye bunge hili sasa kuna wenyeviti wengi kama Mbowe, Warioba, Lipumba, Mbatia, Dovutwa, Hashim Rungwe, Sitta nk
 
Leo ndo cku nloelewa vizuri izo kero za muungano kwa kumsikiliza uyu baba.No wei serikali 3 ndo suluisho.
Kama tunaelewa kero za muungano kupitia speech ya warioba, basi tumekwisha. Me nilijua hizi kero tunazijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…