Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Vipi mbona kimyaaa?? Halafu jamani kama kuna mtu amerekodi hotuba ya Jaji Warioba hapo bungeni tunaomba atuwekee hapa mtandaoni??? Nimejaribu kuingia website ya bunge la katiba wanatangaza Online lakini ina katakata ile mbaya. Tafadhalini jamani, maana tukisubiri TBC watuwekee kuna mambo yatakatwakatwa .
Dah mkuu, kiukweli nimecheka sana jinsi nilivyoandika hapo juu. Warioba amenichanganya anavyotetea utengano ndani ya Muungano. Sipendi serikali mbili na nachikia huu muundo wa serikali tatu. Mie ni muumini wa serikali moja
Najiuliza hivi yale wasaa mawili ambayo mzee SIX alitaka kumpa Warioba alitumia vigezo gani? Kama sikosei kashatumia masaa 3:30 still more to count!
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Ulikuwa ukandamizaji mkubwa, bonge la presentation. Kuddos Mzee Warioba