Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
 
ukiwa na nchi 2 huwezi kukwepa serikali 3. ukiwa na serikali 2 huwezi kukwepa serikali 3. huwezi kukwepa kwamba upande moja una nguvu na malaka, wakati upande mwingine hauna nguvu na mamlaka. ZNZ imesema ni nchi yeneye mamlaka, sasa tuamue, kama tuwe na nchi moja yenye serikali tatu au tunabaki na serikali 2 ZNZ lakini isiwe nchi, iwe serikali
muungano huu sio muungano wa viongozi wala serikali. muungano huu ni wa nchi 2 kwa faida ya wananchi wote
 
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!

Huna sela kama jina lako
 
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!

Kweli wewe ni Toilet
 
Wale wa timu ile wanataka kumkwamisha Warioba kwa kuanza kupiga mayowe hapa ila wanatulizwa na Samia hapa
 
Vipi mbona kimyaaa?? Halafu jamani kama kuna mtu amerekodi hotuba ya Jaji Warioba hapo bungeni tunaomba atuwekee hapa mtandaoni??? Nimejaribu kuingia website ya bunge la katiba wanatangaza Online lakini ina katakata ile mbaya. Tafadhalini jamani, maana tukisubiri TBC watuwekee kuna mambo yatakatwakatwa .

sikiliza tbc taifa na tbc 1
 
Dah mkuu, kiukweli nimecheka sana jinsi nilivyoandika hapo juu. Warioba amenichanganya anavyotetea utengano ndani ya Muungano. Sipendi serikali mbili na nachikia huu muundo wa serikali tatu. Mie ni muumini wa serikali moja

Hahahahahahaaaa! Ni kweli kabisa, kama tunapendana kweli tuwe na serikali moja!
Chuki zilizopo (WaZb na WaTz) imekua haiwezekani!
Jee kati ya serikali 2 na 3 wewe unapendekeza ipi?
 
Tofauti ya Warioba na wanasiasa wengine ni kwamba yeye anazeeka vizuri akiwa na uzalendo uliovuka vivuko vya wanasiasa Wanafiki kwa mbaaaali. Serikali ni tatu na hayumbi anapresent findings na kuzielezea kwa ujasiri. Nenda baba tuko nyuma yako.
 
Najiuliza hivi yale wasaa mawili ambayo mzee SIX alitaka kumpa Warioba alitumia vigezo gani? Kama sikosei kashatumia masaa 3:30 still more to count!

Ulikuwa ukandamizaji mkubwa, bonge la presentation. Kuddos Mzee Warioba
 
Namuona mhongo anadis uraia wa nchi moja sijui wale jamaa anaosemaga ndo wanapesa za kuwekeza kwenye mafuta na gesi wamemhaidi/wamempa uraia?
 
Sasa namuona Warioba kachanganyikiwa. Hasa anapopendekeza uraia wa nchi moja wakati anapendekeza kuwe na nchi mbili zilizo huru
 
"Ukiwa na serikali mbili, huwezi kukwepa serikali tatu".

Jaji Joseph Sinde Warioba
 
Mtikila anafuatilia kwa umakini.

Kama namuona wassira anasepa ukumbini.

Wabunge wanapga kelele tu hapa!!

Zitto anachart na Lipumba.

Ardhi iwe ya muungano,ngoja nikatafute ardhi Nungwi.
 
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!

Rudi msalani ukatoe ma.vi yaliosalia gamba mkuu ww
 
Kwahiyo huyu mama amemfunika Sita katika kuongoza bunge
 
Back
Top Bottom