MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Mkuu nitaku pm no yangu unitumie hako kapicha nimekapenda bure
Serikali tatu uraia mmoja ndiyo nini hii au ndiyo kujenga hoja unakokuita wewe.
Nina mashaka juu ya gharama za serikali ya muungano. Hawa wazanzibari sijui kama watachangia. Pia sijajua kama gharama hizo zitakuwa sawa kwa sawa baina ya pande mbili hizi
huyu mzee ana msimamo wa wanachokitaka wananchi haendeshwi na chama wala nini tungekuwa na watu thelathin kama yeye tungekuwa mbali
Mkuu nitaku pm no yangu unitumie hako kapicha nimekapenda bure
Nakuunga mkono. Sipendi serikali tatu
Serikali tatu uraia mmoja ndiyo nini hii au ndiyo kujenga hoja unakokuita wewe.
Warioba anatumia muda
mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama
lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Serikali tatu uraia mmoja ndiyo nini hii au ndiyo kujenga hoja unakokuita wewe.
Rai wa nchi nyingine aruhusiwe kwenda kupiga kura na kugombea uongozi popote hii nayo imekaaje kisheria.
Rai wa nchi nyingine aruhusiwe kwenda kupiga kura na kugombea uongozi popote hii nayo imekaaje kisheria.