Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mkuu, punguza jazba kidogo kwa madhumuni ya mjadala huu
Mkuu, umenifurahisha sana. Huwezi kujitamani mwenyewe. Tutakutamani sisi au watakutamani wengine
tiririka skype hatuko live wengi anasemaje dondoo
Mkuu, nimefanikiwa kupata nakala ya Kanuni za Rasimu zikiwa kwenye hard Copy. Nafuatilia kupata softy copy. Kuhusu hotuba ya Warioba, ilikuwa ni kwamba niliisaka tangu jana lakini imekuwa adimu. Nadhani kwa vile ilikuwa haijawasilishwa. Hata wabunge hawana nakala za hotuba hii. Ila tunawasiliana na wadau wengine tuweze kuiweka humu

Sasa jana walikataa nini na leo wanakubali nini!!
Warioba ameweka orodha kibao ya nyarakq walizorumia hadi kuandaa rasimu ya Katiba. Sasa anampongeza Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum kwa kuchaguliwa kwao
Mkuu, jana kulikuwa na hoja mbiliChabruma tafadhali, ufafanuzi juu ya hoja ilopelekea Jana kukosa maelewano adi kuahirisha shughuli za bunge imekuwaje. bla mabadiliko. juu ya hoja iliyoibuliwa Jana. Leo utaratibu unaendlea vle2 KA ilivotakiwa Jana iwe?!!!!!!
Majibu tafadhaliiii...