Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huyu mama amemfunika Sita katika kuongoza bunge
Mtikila anafuatilia kwa umakini.
Kama namuona wassira anasepa ukumbini.
Wabunge wanapga kelele tu hapa!!
Zitto anachart na Lipumba.
Ardhi iwe ya muungano,ngoja nikatafute ardhi Nungwi.
ilishakwambia jina lako hufanana na mawazo yako ya MSALANI​ .....kawaida yenu mtamuita muongo kama kawaida yenu.Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
Wapuuzi hawajielewi tu!mbona wabara tunakaa kimya kwa mambo yasitufurahishaSasa hawa wazanzibar wanazomea nini?
Wapuuzi hawajielewi tu!mbona wabara tunakaa kimya kwa mambo yasitufurahisha
Mkuu, leo ndo kibarua chake kinaota nyasi