Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Mzee Warioba Aongezewe Posho Kwa Leo Aiseee....The Man Is Exhausting His Voice Now.....
 
Hahahahahahaaaa! Ni kweli kabisa, kama tunapendana kweli tuwe na serikali moja!
Chuki zilizopo (WaZb na WaTz) imekua haiwezekani!
Jee kati ya serikali 2 na 3 wewe unapendekeza ipi?
Sipendi mbili wala tatu. Napenda moja ru
 
Hongera Warioba.....huo ndio uzalendo halisi...hauna UCHAMA na hila za kisiasa katika hotuba yako....Mungu aendelee kukupa maisha marefu..
 
Kwa watu wengi siku zote watashangaa kwanini CDM hawana shida sana na huyu Mzee wa Viwango 6..NI kwamba watu wanajua jinsi alivyo dhaifu na mwepesi, linapokuja suala la kuichinja CCM pale Bungeni. Siku ya kwanza nilisema coward 6 hawezi tumikia mabwana wote wa wa uoga wake..CDM wanalijua hilo ndio maana wakamweka 6..leo siku ya 2 tuu tunashughudia mapigo makubwa mengine kwa CCM.
 
Mtikila anafuatilia kwa umakini.

Kama namuona wassira anasepa ukumbini.

Wabunge wanapga kelele tu hapa!!

Zitto anachart na Lipumba.

Ardhi iwe ya muungano,ngoja nikatafute ardhi Nungwi.

mie naenda wawi kwa kule kuna kinyavu changu kinaishi huko asante warioba japo huu mchako ni wamagumashi toka mwanzo
 
Hiv hawa wabunge wanasikiliza kile anachopresent huyu mzee au? Naona hawako serious halafu ukiwapa wachangie ni utumbo tu.
 
Warioba kama umo humu, ni kweli uliwasiliana na 6 mkakubaliana masaa mawili yangekutosha?
 
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
ilishakwambia jina lako hufanana na mawazo yako ya MSALANI​ .....kawaida yenu mtamuita muongo kama kawaida yenu.
 
Hivi utakuwa na nchi bila kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama? Warioba anazidi kujichanganya katika hili
 
wazanzibar wanaonekana wana ubaguzi kwani imeejidhiirisha pale jaji warioba aliposema kwa muundo wa serikali tatu kila tutazingatia haki za binadamu na haki izo ni za kisiasa km kugombea popote pale zanzibar au bara pia kiuchumi kila raia ana haki ya kufanya kazi kokote au kumiliki ardhi kokote pale na atakaye leta ubaguzi atakuwa anavunja haki za binadamu! basi kwa hayo wabunge na wengi wao wakaanza kuzomea kwa kupinga uwo mswada!
 
Warioba kama umo humu, ni kweli uliwasiliana na 6 mkakubaliana masaa mawili yangekutosha?
Mkuu, yangetosha kabisa maana anachofanya sasa ni kurudia rudia tu
 
Muundo wa serikali tatu nao utakuwa na changamoto zake

Ongezeko la gharama za uendeshaji lakini hazitakuwa kubwa kama inavyofikiriwa

Gharama zitaongezeka tu kwenye utawala na ndio maana tume imependekeza muundo wa serikali ndogo.

Gharama zitakazoongezeka ni za kawaida na haziepukiki hata kwa serikali ya sasa pale inapotaka kuongeza ufanisi
 
Back
Top Bottom