Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Kwakweli Sidhani Kama Serikali Tatu Zitatatua Kero Za Muungano...Otherwise Kaongea Vizuri .....
Nakuunga mkono. Hakika kaongea vizuri. Hii ni sawa na kuandaa msosi mzuri ndani yake ukaweka sumu
 
Bado nauliza kua, yale masaa mawili ya samweli sita yangetosha kumaliza hotuba hii?
 
Sote tunajua kuwa ratiba ya Bunge Maalumu imempangia Rais JMT alizindue bunge hilo siku ya Ijumaa lakini bila kumung'unya maneno kutokana hotiba ya Jaji Warioba kuwa yeye ndiye amelizidua bunge.
NAWASILISHA
 
Serikali tatu uraia mmoja ndiyo nini hii au ndiyo kujenga hoja unakokuita wewe.

Rai wa nchi nyingine aruhusiwe kwenda kupiga kura na kugombea uongozi popote hii nayo imekaaje kisheria.

Eti nguli? kuwa nguli bila kujali maslah ya wengi ni u p u u z i mtupu

Lakini hili la serikali tatu amechemka!


Kila kitu kinapangwa na kuwekwa kutegemeana na hali iliyopo. Ninyi wote nitawasifu kama mutaleta hoja inayoeleweka. Hamtaki Serikali 3, munasema haiwezekani kwa nini? Kenya kuna serikali za majimbo, munajuwa kuna majimbo mangapi na serikali ngapi? Amerika kuna serikali za majimbo mangapi? Nahisi tatizo lenu ni neno serikali au neno Rais. Munakuwa kama Idd Amini aliyezuiya mtu yeyote kujiita Rais hata kama ni wa chama cha waalimu.

Semeni hizo mbili ziweje? Mbona hamusemi moja? Semeni moja maana kama nchi moja serikali 3 ni tatizo kwenu, hata nchi moja serikali mbili ni tatizo! Tuondoe ujinga tusiwe watu tunaoweza kukumbuka tuliyoyasikia tu bila hata nafasi ya kujiuliza ya kwetu. Wengine mumekimbilia suala la gharama, huyu ambaye ni waziri mkuu mstaafu amewaonyesha jinsi serikali mbili zinavyoendeshwa kwa gharama kubwa kuliko hata hizo 3.

Waziri mkuu Pinda ni waziri mkuu wa serikali ipi? Z'bar wanamtambuwa? Serikali yake ni ipi?

Kuna kundi la Wa Zenj ambao wao wanapenda wawe na serikali lakini hawataki kuiendesha wenyewe. Wanataka serikali yao iendeshwe na bara, hiyo NO! kwa kuwa wana katiba yao, bendera yao, serikali yao lazima waiendeshe, kama hawawezi, wakope bara na walipe mikopo! Mambo ya kudeka hatutaki kabisa! Ukideka unaachiwa utembee mwenyewe, kama ni kilio, we lia baadaye ukinyamaza utakuwa na akili.

Bara wote hatuwezi kuwa kama akina Nape. Huyo Sitta naye analazimisha watu kufundishwa mambo ya muunganao eti na wale wanaoujua muungano. Akina nani hao walioujua muungano kwa miaka 50 bila kuwaeleza wengine, halafu leo ndo wanakuja kujidai kuwaeleza wengine.

Shit and stupid!
 
NI dhahiri kifo cha CCM kinawahishwa sana na kila tume ktk bunge la Jamhuri ya muunganowa Tanzania.
 
6 ni janga la CCM...viva CDM kwa kuliona hilo.....CCM chama cha kidini,kikabila kikanda Mungu anakwenda wamaliza kabisa.Sasa hivi nchi imeungana kuimaliza CCM....Serikali 3 ni kifo cha CCM cha wazi.
 
Ningefurahi kama Ole Sendeka nae akapewa japo dakika ili aseme lililopo moyoni mwake?
 
Warioba kamaliza sisi tutajua namna ya kufanya kile ambacho watanzania wanataka wala hatujali chochote ila ni matakwa ya watanzania basi.
 
Nachosikitika ni kwamba sitaweza kuipigia kura rasmu hii maana sina kitambulisho cha kupigia kura
 
Warioba amesema kuwa hawakupiga kura katika kufikia mqqmuzi. Qnatoa somo gani juu ya kura ya siri inayoshabikiwa na wabunge na ile kura ya Wazi?

Ujumbe wake ni kuwa jadilianeni na mfikie muhafaka kwani swala la kura kuna lile kundi ambalo watafeel wameshinda na wale watafeel wameshindwa.. jambo ambalo sio zuri katika kuandika katiba...
 
kwa nondo za leo naziona hoja za akina sendeka na wengine niliowasikia hivi karibuni kupinga tume ya warioba zilielea elea bila mashiko! Je watajenga hoja gani tena?

warioba ni jembe, huyo sendeka hana lolote kazi kupayukapayuka tuu, anafikiri yuko simanjiro na wamasai wenzake,nimeangalia sana hili bunge kuanzia mwanzo kupitisha kanuni sendeka alikuwa msumbufu sana ,tungekuwa na kiranja angemwandika kwenye orodha ya wasumbufu akapewa adhabu.yeye yuko kichama zaidi na siyo ki utaifa.
 
Back
Top Bottom