Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali tatu uraia mmoja ndiyo nini hii au ndiyo kujenga hoja unakokuita wewe.
Rai wa nchi nyingine aruhusiwe kwenda kupiga kura na kugombea uongozi popote hii nayo imekaaje kisheria.
Eti nguli? kuwa nguli bila kujali maslah ya wengi ni u p u u z i mtupu
Lakini hili la serikali tatu amechemka!
Hivi kwa masaa mawili ambayo Sitta alitaka ndo atumie Jaji Warioba je yangetosha kuwasilisha yale yote aliyosasilisha? au kuna kitu Sitta alitaka kisiongelewe kwa ufasaha?
Ningefurahi kama Ole Sendeka nae akapewa japo dakika ili aseme lililopo moyoni mwake?
Wabeba sumu nanyi mnakazi kweli.6 ni janga la CCM.
Warioba amesema kuwa hawakupiga kura katika kufikia mqqmuzi. Qnatoa somo gani juu ya kura ya siri inayoshabikiwa na wabunge na ile kura ya Wazi?
Ningefurahi kama Ole Sendeka nae akapewa japo dakika ili aseme lililopo moyoni mwake?
Kanuni haziruhusu mkuu hatuna kifungu hicho cha mjumbe kupata nafasi.nimependa pendekezo lako pendwa
kwa nondo za leo naziona hoja za akina sendeka na wengine niliowasikia hivi karibuni kupinga tume ya warioba zilielea elea bila mashiko! Je watajenga hoja gani tena?