Kanuni haziruhusu mkuu hatuna kifungu hicho cha mjumbe kupata nafasi.
teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni haziruhusu mkuu hatuna kifungu hicho cha mjumbe kupata nafasi.
Ujumbe wake ni kuwa jadilianeni na mfikie muhafaka kwani swala la kura kuna lile kundi ambalo watafeel wameshinda na wale watafeel wameshindwa.. jambo ambalo sio zuri katika kuandika katiba...
Mkuu umewahi kuona wapi mtu anatoka nchi nyingine na kwenda kupiga kura nchi nyingine au kugombea uongozi nchi nyingine.Kila kitu kinapangwa na kuwekwa kutegemeana na hali iliyopo. Ninyi wote nitawasifu kama mutaleta hoja inayoeleweka. Hamtaki Serikali 3, munasema haiwezekani kwa nini? Kenya kuna serikali za majimbo, munajuwa kuna majimbo mangapi na serikali ngapi? Amerika kuna serikali za majimbo mangapi? Nahisi tatizo lenu ni neno serikali au neno Rais. Munakuwa kama Idd Amini aliyezuiya mtu yeyote kujiita Rais hata kama ni wa chama cha waalimu.
Semeni hizo mbili ziweje? Mbona hamusemi moja? Semeni moja maana kama nchi moja serikali 3 ni tatizo kwenu, hata nchi moja serikali mbili ni tatizo! Tuondoe ujinga tusiwe watu tunaoweza kukumbuka tuliyoyasikia tu bila hata nafasi ya kujiuliza ya kwetu. Wengine mumekimbilia suala la gharama, huyu ambaye ni waziri mkuu mstaafu amewaonyesha jinsi serikali mbili zinavyoendeshwa kwa gharama kubwa kuliko hata hizo 3.
Waziri mkuu Pinda ni waziri mkuu wa serikali ipi? Z'bar wanamtambuwa? Serikali yake ni ipi?
Kuna kundi la Wa Zenj ambao wao wanapenda wawe na serikali lakini hawataki kuiendesha wenyewe. Wanataka serikali yao iendeshwe na bara, hiyo NO! kwa kuwa wana katiba yao, bendera yao, serikali yao lazima waiendeshe, kama hawawezi, wakope bara na walipe mikopo! Mambo ya kudeka hatutaki kabisa! Ukideka unaachiwa utembee mwenyewe, kama ni kilio, we lia baadaye ukinyamaza utakuwa na akili.
Bara wote hatuwezi kuwa kama akina Nape. Huyo Sitta naye analazimisha watu kufundishwa mambo ya muunganao eti na wale wanaoujua muungano. Akina nani hao walioujua muungano kwa miaka 50 bila kuwaeleza wengine, halafu leo ndo wanakuja kujidai kuwaeleza wengine.
Shit and stupid!
Watanzania wapi tena...bado upo underground unakimbizana na thread za wana CDM?sisi tunamsikiliza warioba.Warioba kamaliza sisi tutajua namna ya kufanya kile ambacho watanzania wanataka wala hatujali chochote ila ni matakwa ya watanzania basi.
Sote tunajua kuwa ratiba ya Bunge Maalumu imempangia Rais JMT alizindue bunge hilo siku ya Ijumaa lakini bila kumung'unya maneno kutokana hotiba ya Jaji Warioba kuwa yeye ndiye amelizidua bunge.
NAWASILISHA
Mawazo yko ndio ujinga wako.Sote tunajua kuwa ratiba ya Bunge Maalumu imempangia Rais JMT alizindue bunge hilo siku ya Ijumaa lakini bila kumung'unya maneno kutokana hotiba ya Jaji Warioba kuwa yeye ndiye amelizidua bunge.
NAWASILISHA
Mkuu, nimefanikiwa kupata nakala ya Kanuni za Rasimu zikiwa kwenye hard Copy. Nafuatilia kupata softy copy. Kuhusu hotuba ya Warioba, ilikuwa ni kwamba niliisaka tangu jana lakini imekuwa adimu. Nadhani kwa vile ilikuwa haijawasilishwa. Hata wabunge hawana nakala za hotuba hii. Ila tunawasiliana na wadau wengine tuweze kuiweka humu
Watanzania wameshasema kupitia maoniWarioba kamaliza sisi tutajua namna ya kufanya kile ambacho watanzania wanataka wala hatujali chochote ila ni matakwa ya watanzania basi.
Mawazo yko ndio ujinga wako.
Div 5 mko wengi