Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

haya ndiyo mawazo mgando sasa tunayosema. warioba hajaongea maneno kutoka kichwani kwake ww mbwiga hayo ni matokeo ya utafiti na mawazo ya wananchi waliosoma na wanaojua historia ya nchi na c washamba kama wewe

mkuu soma hapa huenda ukaambulia chochote.

Kwa mujibu wa ripoti ya mwenyekiti wa tume ya kuaandaa rasimu ya katiba aliyoitoa mnamo tarehe 30/12/2013 inaonyesha kuwa takribani 61% kutoka Tanzania bara waliunga mkono hoja ya serikali tatu na 60% kutoka Zanzibar walipendekeza Muungano wa mkataba; ni wazi kuwa ripoti hiyo haionyeshi kiuhalisia wa jumla ya watanzania waliohojiwa na kutamka kwa vinywa vyao kuwa wanataka muundo wa serikali tatu.
Kwa mfano ripoti inasema “kwa Tanzania Bara wananchi zaidi ya 39,000 walitoa maoni yao kuhusu Muungano na karibu 27,000 walizungumzia Muundo (Hawakusema kama wanataka serikali tatu).
Kwa Zanzibar karibu wananchi wote waliotoa maoni walijikita kwnye suala Muungano. Kati ya wananchi karibu 38000 waliotoa maoni, wananchi 19,000walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano (hawakusema kama wanataka serikali tatu)”.
Sasa swali linalojitokeza ni je, hizi aslilimia zinzoonyesha kuwa idadi kubwa ya watanzania wanataka muundo wa serikali tautu inatoka wapi? Ukweli wa mambo unaonyesha kuwa, kimsingi ni kweli kamati teule iliwahoji watanzania takribani 333,516; kati hao watanzania 16,470 walipendekeza muundo wa serikali tatu, kwa Tanzania Bara, wananchi zaidi ya 39,000 walitoa maoni yao kuhusu Muungano, 27,000 walizungumzia Muundo.
Kwa Zanzibar wananchi 19,000 walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano na wengi wakipendekeza muungano wa mkataba. Takribani wananchi 287537 hawakuzungumzia suala la muungano au muundo wa serikali tatu.
Sasa je, asilimia 61% inatoaka wapi amabyo inaunga mkono hoja ya muundo wa serikali tatu? Ni watanzania wapi wengi ambao wameonyesha nia ya kuwa na muundo wa serikali tatu?
 
Hivi baada ya maelezo ya kina kina toka kwa Warioba bado kuna mtu haelewi 61% ya Bara n 60% toka Zanzibar zimepatikanaje? shid ni nini, mfumo mbovu wa elimun au ni clinical issue?
 
Alichofanya Jaji Warioba ni kuwaeleza MaRais wa JMT waliofuata baada ya Mwalimu namna walivyoshindwa kuilinda na kuitetea KATIBA ya JMT pamoja na viapo vyao vya wazi na hadharani.

Tusingefikishana hapa kama angalau BUNGE la JMT lingefanya kazi yake vizuri.
 
mtoa hoja inaonekana hata hesabu hukusoma maoni yeyote huchukuliwa kwa kufanya sampling huwezi kumhoji kila mmoja...unachotakiwa ni kujibu hoja alizoainisha jaji warioba ..yeye amekuja na fact na solution wewe unakuja na idadi ya watu...jibu hoja zote alizotoa ambazo ni mapungufu ,maboresho halafu wee twambie unataka serikali ngapi na uje na solution ya matatizo ya muungano kwa hilo unalopendekeza ...kwa sasa hatutaki ushabiki tena tunataka hoja tuuuu
 
kila kipengele kilichangiwa na watanzania.Na kila kipengele kilipigiwa mahesabu kwa idadi ya waliotoa maoni...na idadi ya yao ktk maoni husika ya hicho kipengele.Yaani km watu 100 ndio walichangia serikali 3 wengine hawakuongelea ila waliongelea issue zingine km ardhi..Na ktk hao mia 1 mtu mmoja walitaka serikali moja, 38% watu 38 walitaka serikali kichaa km CCM, na asilimia watu 61 asilimia 61% walitaka serikali 3...hao ndio watanzania kwa asilimia zao kwa wale waliochangia..Km ulichangia mambo mengine na si Muungano kwanini Warioba akujumlishie wakati huna tofauti na ambaye hakuchangia kabisa? Hapa ndipo CCM wamepigwa bao..bahati mbaya sana video, na midahalo ktk TV wameshajaza..wataoea aibu sana hili.
 
Hivi baada ya maelezo ya kina kina toka kwa Warioba bado kuna mtu haelewi 61% ya Bara n 60% toka Zanzibar zimepatikanaje? shid ni nini, mfumo mbovu wa elimun au ni clinical issue?
Kwa matazamo wangu sidhani kama watanzania waliowengi wanaafiki suala la muundo wa serikali tatu eti kwasababu mwenyekiti wa tume amesema. Sidhani kama takribani watu 16,000 elfu wanaweza kubeba haki za watanzania walio wengi?????
 
Kwa mujibu wa ripoti ya mwenyekiti wa tume ya kuandaa rasimu ya katiba inaonyesha kuwa takribani 61% kutoka Tanzania bara waliunga mkono hoja ya serikali tatu na 60% kutoka Zanzibar walipendekeza Muungano wa mkataba; ni wazi kuwa ripoti hiyo haionyeshi kiuhalisia wa jumla ya watanzania waliohojiwa na kutamka kwa vinywa vyao kuwa wanataka muundo wa serikali tatu.

Wewe ni -------- wa hali ya juu, Mzee Warioba amelizungumzia hili kila anapopata fursa, hata leo amefafanua vizuri tu, acha UZUZU.
 
mtoa hoja inaonekana hata hesabu hukusoma maoni yeyote huchukuliwa kwa kufanya sampling huwezi kumhoji kila mmoja...unachotakiwa ni kujibu hoja alizoainisha jaji warioba ..yeye amekuja na fact na solution wewe unakuja na idadi ya watu...jibu hoja zote alizotoa ambazo ni mapungufu ,maboresho halafu wee twambie unataka serikali ngapi na uje na solution ya matatizo ya muungano kwa hilo unalopendekeza ...kwa sasa hatutaki ushabiki tena tunataka hoja tuuuu
tume ilitutaarifu,kwamba ktk mikutano 1942 iliyoifanya Tanzania nzima,ambapo ilihudhuriwa na wananchi wapatao 1,365,337,,,watu 333,537 walitoa maoni yao kwa mazungumzo ya anakwa ana,na kwa maandishi.Huku wengine wakichangia kwa njia mbalimbali kama Fomu maalum za Tume,barua kupitia posta,barua pepe,magazeti,sms na mitandao jamii kama facebook,tweeter na kupitia tovuti ya tume(bila kufafanua idadi,kama ilivyofafanuliwa kwa wale waliochangia ana kwa ana). .Ikumbukwe,kwamba watu 1,365,337,ni asilimia 3.03 ya Watanzania wote takriban Mil45, sasa mkuu hiyo samping ya asilimia 3.03 ya Watanzania milioni 45 unawezakweli kufanya Generalization? umesoma kweli research?
 
Kwa matazamo wangu sidhani kama watanzania waliowengi wanaafiki suala la muundo wa serikali tatu eti kwasababu mwenyekiti wa tume amesema. Sidhani kama takribani watu 16,000 elfu wanaweza kubeba haki za watanzania walio wengi?????

Wewe ni mjinga sana, unapinga watu zaidi ya 16,000 lakini unakubali wajumbe 600, acha upumbavu
 
Wewe ni -------- wa hali ya juu, Mzee Warioba amelizungumzia hili kila anapopata fursa, hata leo amefafanua vizuri tu, acha UZUZU.
nimemsikiliza sana na bado naendelea kumsikiliza, hakuna alivyoelezea,labda kwa faida ya wanajukwaa wote ebu tuambie amesemaje??
 
tume ilitutaarifu,kwamba ktk mikutano 1942 iliyoifanya Tanzania nzima,ambapo ilihudhuriwa na wananchi wapatao 1,365,337,,,watu 333,537 walitoa maoni yao kwa mazungumzo ya anakwa ana,na kwa maandishi.Huku wengine wakichangia kwa njia mbalimbali kama Fomu maalum za Tume,barua kupitia posta,barua pepe,magazeti,sms na mitandao jamii kama facebook,tweeter na kupitia tovuti ya tume(bila kufafanua idadi,kama ilivyofafanuliwa kwa wale waliochangia ana kwa ana). .Ikumbukwe,kwamba watu 1,365,337,ni asilimia 3.03 ya Watanzania wote takriban Mil45, sasa mkuu hiyo samping ya asilimia 3.03 ya Watanzania milioni 45 unawezakweli kufanya Generalization? umesoma kweli research?

Wewe ni wa KUPUUZWA!!!
 
Huwezi amini CCM ni aibu zaidi ya tunavyodhani.Eti kwa miaka 50 hawakuwahi kuwa functional zenj..kwani rais na waziri mkuu wa muungano hajawahi kuwa na uwezo wa ku operate zenj..yet.Kwa miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu CCM ilishindwa zaidi..ilishindwa ongoza na kuleta maendeleo Tanganyika. Abu kubwa sana...CCM ni mbovu kuliko tulivyodhani.Wameishia kuwa wezi n wafujaji wasicholima. cc:Ritz
 
Huwezi amini CCM ni aibu zaidi ya tunavyodhani.Eti kwa miaka 50 hawakuwahi kuwa functional zenj..kwani rais na waziri mkuu wa muungano hajawahi kuwa na uwezo wa ku operate zenj..yet.Kwa miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu CCM ilishindwa zaidi..ilishindwa ongoza na kuleta maendeleo Tanganyika. Abu kubwa sana...CCM ni mbovu kuliko tulivyodhani.Wameishia kuwa wezi n wafujaji wasicholima. cc: Ritz
 
Kwa mujibu wa ripoti ya mwenyekiti wa tume ya kuandaa rasimu ya katiba inaonyesha kuwa takribani 61% kutoka Tanzania bara waliunga mkono hoja ya serikali tatu na 60% kutoka Zanzibar walipendekeza Muungano wa mkataba; ni wazi kuwa ripoti hiyo haionyeshi kiuhalisia wa jumla ya watanzania waliohojiwa na kutamka kwa vinywa vyao kuwa wanataka muundo wa serikali tatu.

Ripoti hiyo inasema "kwa Tanzania Bara wananchi zaidi ya 39,000 walitoa maoni yao kuhusu Muungano na karibu 27,000 walizungumzia Muundo (Hawakusema kama wanataka serikali tatu).

Kwa Zanzibar karibu wananchi wote waliotoa maoni walijikita kwnye suala Muungano. Kati ya wananchi karibu 38000 waliotoa maoni, wananchi 19,000walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano (hawakusema kama wanataka serikali tatu)".
Sasa swali linalojitokeza ni je, hizi asilimia zinazoonyesha kuwa idadi kubwa ya watanzania wanataka muundo wa serikali tatu inatoka wapi? Ukweli wa mambo unaonyesha kuwa, kimsingi ni kweli kamati teule iliwahoji watanzania takribani 333,516; kati hao watanzania 16,470 walipendekeza muundo wa serikali tatu, kwa Tanzania Bara, wananchi zaidi ya 39,000 walitoa maoni yao kuhusu Muungano, 27,000 walizungumzia Muundo.
Kwa Zanzibar wananchi 19,000 walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano na wengi wakipendekeza muungano wa mkataba. Takribani wananchi 287537 hawakuzungumzia suala la muungano au muundo wa serikali tatu.
Sasa je, asilimia 61% inatonduka wapi amabyo inaunga mkono hoja ya muundo wa serikali tatu? Ni watanzania wapi wengi ambao wameonyesha nia ya kuwa na muundo wa serikali tatu?

Nadhani hansard za bunge zipo na kuna tv na redio zimerusha hivyo pengine unaweza kupata like alichokisema. Ukisiliza kwa makini na umakini huku ukiwa umetuliza akili yako kuelewa nasisitiza kuelewa basi utamwelewa kazitoa wapi.
Taitizo wengine wanasikiliza kwa lengo la kupinga na matokeo yake hawaelewi kile wanachotaka kupinga au wanachotakiwa kuelewa.
Hata darasani si wanafunzi wote huelewa palepale mwalimu anapofundisha, wengine uelewa kwa kueleweshwa taratibu ama na mwalimu huyohuyo au wanafunzi wenzake. Usichoke kuuliza kama utakuwa hujaelewa baada ya kurudia kumsikiliza au kusoma kile alichoeleza.
 
Wewe ni wa KUPUUZWA!!!
Wasiwasi wangu zaidi,ukapatikana hapa,ktk hotuba hiyohiyo,ukurasa wa 12,,,"Zanzibar,wananchi karibu wote waliotoa maoni walijikita kwny suala la Muungano",,"Kati ya wananchi karibu 38,000 waliotoa maoni,Wananchi 19,000 walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano"

SASA ZANZIBAR,KWA MUJIBU WA SENSA YA 2012 INA WATU WAPATAO 1,303,569..WATU 38000 WALIOTOA MAONI,NI SAWA NA ASILIMIA 2.9 YA WAZANZIBARI WOTE,NA HAO 19000 WALIOZINGUMZIA MUUNDO,NI ASILIMIA 1.45 YA WAZANZIBARI WOTE....Je,HIYO INAYOSEMWA KWAMBA PALIKUWA NA MJADALA MKALI,,ULIKUWA UKALI WA ASILIMIA 2.9 YA WAZANZIBARI WOTE AU HII 1.45 YA WAZANZIBARI WOTE???. . .KWANGU MIMI,HAPA NDIPO NINAPOTILIA SHAKA UPACHIKWAJI WA NAMBA HIZI,KWA MALENGO YA KUIPATA SERIKALI YA TATU..NA NDIPO HAPAHAPA,NAJIKUTA,NAUNGANA NA CCM,JAPO WENYEWE WANAWEZA WASIWE WAMESIMAMIA KTK HOJA SANJARI NA HIZI ZAKWANGU,,,NA NI KATIKA HILI,NDIPO BINAFSI,NINAAMINI KUNA JAMBO NYUMA YA SHILINGI,AMBALO EITHER TUME,AMA WARIOBA PERSONALLY,ANALO,DHIDI YA MUUNGANO HUU
 
Back
Top Bottom