Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

Ina maana kwa sasa, tunapoteza maisha ya watu zaidi ya 2,000 kwa mwezi!!

Kwa hakika inawezekana na hata zaidi. Kokotoa uone kuna mikoa na wilaya ngapi.

Uone watu hao ni wangapi kwa wilaya kwa siku.

Bila kusahau kuna mikoa kuna habari za mochwari kujaa.
 
Excellent speech. Hii inatakiwa ipelekwe moja kwa moja kwa SSH aisome na kuchukua hatua. Tunakoelekea ni kubaya sana. Kayafa keshaenda yeye ndiye atakayebeba zigo lote la kuanguka kwa nchi. Mama ameanza kupiga mira nje hata penati ambayo haina golikipa. Kosa kubwa alilolifanya ni kutounda serikali yake akawa kama kokoro akabeba hata makapi ya Kayafa. Hayo ndiyo yanayompoteza. Alitakiwa aunde new and fresh cabinet atakalokuwa na sauti nalo.

Baada ya kuapishwa na kumzika hayati JPM
Mama akamteua VP iyo ikapelekea kuunda baraza lake la mawaziri kwa iyo mbali na mawaziri wengi kubaki na kuweka wachache yeye hakuona umuhimu kwakuwa aliwapitia wote akaona wanafiti,, pili baadae akatangaza Wakuu wa mikoa hiyo yote ni kuweka safu yake yeye mwenyewe baadae akateua Ma DC week iliyopita tu kateua Ma DED wake hiyo yote ni kuweka safu yake bado hapo kati aliteua wakuu mbali mbali kwenye taasisi tofauti tofauti yote iyo inaonesha safu hii yote ya hao viongozi ni watu wake
 
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Shida ni kuwa ukiwa mbinafsi unataka kusikia unachokipenda wewe pekee.
 
Labda utusaidie wewe kilaza. Kuna ufisadi gani so far???
Au ndo una Pepo la kupenda kusikia Habari mbaya mbaya?
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
 
Jamaaa hamna kitu Yule, ni mdini kinyama , kamwe huwez kukuta Zitto akimshambulia Raisi Samia , sababu anaenjoy kile anachokitaka
 
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Ongelea wewe usitupigie kelele hapa. Mijitu mingine bwana, inataka mtu aongelee mawazo yaliyo vichwani mwao kama vile yenyewe imezibwa midomo.
 
Hizi akili nyingine ni hovyo,sasa unataka kila akiitisha press ni kuzungumzia hayo?
 
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Subiri siku uibiwe mume halafu usubiri jirani yako akusaidie kupiga kelele za mwizi mwizi.
 
Back
Top Bottom