Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Kwenye hiyo press Zito amezuia ww kuongelea tozo na rushwa? Ni sawa kama ukute ni mtihani wa kiswahili, lakini unatoka unalaani kuwa hao wanafunzi hawajui hesabu kabisa!