Ina maana kwa sasa, tunapoteza maisha ya watu zaidi ya 2,000 kwa mwezi!!
Excellent speech. Hii inatakiwa ipelekwe moja kwa moja kwa SSH aisome na kuchukua hatua. Tunakoelekea ni kubaya sana. Kayafa keshaenda yeye ndiye atakayebeba zigo lote la kuanguka kwa nchi. Mama ameanza kupiga mira nje hata penati ambayo haina golikipa. Kosa kubwa alilolifanya ni kutounda serikali yake akawa kama kokoro akabeba hata makapi ya Kayafa. Hayo ndiyo yanayompoteza. Alitakiwa aunde new and fresh cabinet atakalokuwa na sauti nalo.
Shida ni kuwa ukiwa mbinafsi unataka kusikia unachokipenda wewe pekee.Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Hii chance aichukue GwajimaShida ni kuwa ukiwa mbinafsi unataka kusikia unachokipenda wewe pekee.
kwamba tuko edeni hakuna ufisadiLabda utusaidie wewe kilaza. Kuna ufisadi gani so far???
Au ndo una Pepo la kupenda kusikia Habari mbaya mbaya?
Kama Kuna ufisadi umeuona si uuseme?kwamba tuko edeni hakuna ufisadi
Ongelea wewe usitupigie kelele hapa. Mijitu mingine bwana, inataka mtu aongelee mawazo yaliyo vichwani mwao kama vile yenyewe imezibwa midomo.Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Subiri siku uibiwe mume halafu usubiri jirani yako akusaidie kupiga kelele za mwizi mwizi.Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi