Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Shida yake huyo alitamani kusikia akiyaunga mkono mawazo ya ukandamiza, na ubambikaji kesi kwa wengine, Ajabu anaumia na kushambulia wengine.Subiri siku uibiwe mume halafu usubiri jirani yako akusaidie kupiga kelele za mwizi mwizi.
Nakubaliana na wewe kwa 100%, pia Masoud Kipanya na Fatuma Karume.Jamaaa hamna kitu Yule, ni mdini kinyama , kamwe huwez kukuta Zitto akimshambulia Raisi Samia , sababu anaenjoy kile anachokitaka
Yaani chama tawala kifanye maujinga hayo yote...tozo,ufisadi,uzembe nk halafu ndipo mnataka wapinzani waje kuongelea!Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Kwani maana ya ajenda Ni Nini?Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Ikiambiwa kuandamana inajificha kwa uoga,bora misukuleOngelea wewe usitupigie kelele hapa. Mijitu mingine bwana, inataka mtu aongelee mawazo yaliyo vichwani mwao kama vile yenyewe imezibwa midomo.
Aongee kesho mseme gaidi nyie vibaraka wa shetaniZito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Nakubaliana na wewe kwa 100%, pia Masoud Kipanya na Fatuma Karume.
Nakubaliana na wewe kwa 100%, pia Masoud Kipanya na Fa
Zitto-hopeless class.Nakubaliana na wewe kwa 100%, pia Masoud Kipanya na Fatuma Karume.
Zitto-hopeless class.I never trusted Zitto Kabwe. The dude is a sellout.
We mwenyewe mdini kinomaaaa maana MAWAZO yenu hugeuziwa huko,Huyo fyekelo Zito na wewe wote tu dishi limeyumbaJamaaa hamna kitu Yule, ni mdini kinyama , kamwe huwez kukuta Zitto akimshambulia Raisi Samia , sababu anaenjoy kile anachokitaka
Subiria ss Chama Bora kinakuja chenye sera za uhakikaYaani chama tawala kifanye maujinga hayo yote...tozo,ufisadi,uzembe nk halafu ndipo mnataka wapinzani waje kuongelea!
Kuleni matapishi yenu maana wapinzani wakisema kuandamana mnajificha kwa uoga,tena tozo ziongezwe maradufu labda ndo mtawaelewa.
Zito kabwe amefeli wanasiasa wengine wamefeli wanaongea pointless yaani kiongozi wa Upinzani hauongelei tozo, kiongozi wa Upinzani hauongelei Rushwa, ufisadi ubadhitifu wa mali ya umma uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yaani hamna kabisa upuuzi
Mkuu Na wamekwanyua na tarifu ziro kwenye umeme. Wapinzani wakiongea wanapewa kesi za kuujumu huchumi na ugaidi. Hayana hata aibu hata hofu ya Mungu hayana Ni majitu masingiziaji yanapora hata kile kidogo cha mtu maskini hayana tofauti na Majambazi. Alafu analeta mada za kijinga hakuna mpinzani nchi hii. Ajabu sanaYaani chama tawala kifanye maujinga hayo yote...tozo,ufisadi,uzembe nk halafu ndipo mnataka wapinzani waje kuongelea!
Kuleni matapishi yenu maana wapinzani wakisema kuandamana mnajificha kwa uoga,tena tozo ziongezwe maradufu labda ndo mtawaelewa.
Mbona hata ccm chama Bora kimaneno.ila kwenye matendo kinatumika na shetani waziwaziSubiria ss Chama Bora kinakuja chenye sera za uhakika
Wajinga kweli,halafu akiongea ndo tozo zitatoka?Aongee kesho mseme gaidi nyie vibaraka wa shetani
subiria wewe chama kipya kinakuja ukisusa wenzio wanakulaWajinga kweli,halafu akiongea ndo tozo zitatoka?
Kuandamana hayataki acha yapigwe,walifikiri tozo ni kwa upinzani tu
Bora watoke wapi wakati alionao ndio waliwaona bora zaidi.Excellent speech. Hii inatakiwa ipelekwe moja kwa moja kwa SSH aisome na kuchukua hatua. Tunakoelekea ni kubaya sana. Kayafa keshaenda yeye ndiye atakayebeba zigo lote la kuanguka kwa nchi. Mama ameanza kupiga mira nje hata penati ambayo haina golikipa. Kosa kubwa alilolifanya ni kutounda serikali yake akawa kama kokoro akabeba hata makapi ya Kayafa. Hayo ndiyo yanayompoteza. Alitakiwa aunde new and fresh cabinet atakalokuwa na sauti nalo.