Uchaguzi 2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

mmmmmmmmmmmmmmmm huyu jamaa aache kutukana hvyo aanze kuongeaa kistaarabu hivyo? basi itakuwa rahisi kwa nzi kugeuka kuwa nyuki atengeneze asali
Mkuu mwanaccm ukimwambia ukweli anaona Kama ametukanwa.Hakuna mtu anayetukana watu nchi hii Kama Magufuli? Kwa namna cheo kilivyomzuzua kumpa miaka mingine mitano ni uasi kwa nchi yetu na watu wake
 
Mkuu umenena, Lakini hata Kama Lissu akipewa nchi kwa miaka 15 hakuna kipya anachoweza kukifanya, CCM ni chama tawala na waasisi wa taifa hili ndio walianzisha CCM, kwa hiyo Lissu ana uchungu zaidi ya waliokomboa taifa kutoka kwa wakoloni??

Hata ungekuwa wewe utajiri unaoutafuta mwenyewe, wewe ndio mwenye uchungu nao, taratibu twende mbele
 
Mkuu pole sana,Kama mpaka sasa hujaona wapi tumekwama,Kama mpaka sasa hujaona connection Kati ya umasikini wa nchi yetu na utawala wa ccm naomba sana nikupe pole.
 
Mkuu umasikini na ujinga tuliosababishiwa na CCM ndo unatufanya tuje na katuni za aina hii.Tanzania ni masikini kwa sababu ya viongozi wa ccm na CCM yao otherwise haina sababu ya kuwa masikini.tulitakiwa tuwe zaidi ya hapa.

Mkuu Lissu amepita kwenye airport kubwa na very complicated,airport ambazo inakubidi upande train Kwanza ili ufike kwenye boarding gate lako,hawezi akababaishwa na airport ndogo like hii ya kwetu.siku ukikombolewa toka kwenye umasikini utanielewa
 
Aisee, huu ushauri ni wa kimataifa. Hope wahusika watauona na kuufanyia kazi. Na mimi ninaongezea kidogo, Lissu ajitahidi sana kuepuka hotuba za mihemko. Azungumze kwa namna ambayo mtu yeyote (hata opponents wake) atapenda kusikiliza kile anachoongea.
 
Mkuu pole sana,Kama mpaka sasa hujaona wapi tumekwama,Kama mpaka sasa hujaona connection Kati ya umasikini wa nchi yetu na utawala wa ccm naomba sana nikupe pole.
Kwa hiyo CCM Kuna ufisadi(ulimbikizaji mali)??, Kama ndio hivyo basi ccm chini ya Jpm imethubutu kwa sababu tumeona watu wengi waliokuwa wakikwepa kulipa kodi wakiwajibishwa, waliokuwa wakimiliki mali kwa njia zisizohalali zilifilisiwa, mfano ni wasimamizi wa Migodi yote nchini Barrick, Kumbuka chama kinaongozea na watu ambao wanna udhaifu wa Kila namna, kwa hiyo hata upinzani ukipewa dhamana watu wake wanaweza kuwa na udhaifu huohuo maadam upinzani uwe chachu ya kuwafanya walioshika dola kuwa na maadili ya kiutawala.
 
Badilisha jina mzee una akili nzuri sana.
 
Aliyekwapua 1.5T kwa mujibu wa CAG amefanywaje? Je mapendekezo ya report ya makinikia yalipelekwa kwa nani na kipi kimefanyika? Mkuu ni kweli ccm imetengeneza ujinga,na ni ukweli magufuli ameongeza ujinga na umasikini kwa watanzania Ila hiyo haina maana watanzania tu wajinga na masikini Kama wewe, I am so sorry bro
 
Badilisha jina mzee una akili nzuri sana.
Mkuu jina langu mbona halina shida yoyote,sema watu wanaamua kutofasiri majina ya watu though jina halitakiwi kutafasiliwa
 
Masikini mkubwa wewe, Umasikini umeukumbatia wewe unayehisi Tundu Lissu atakuletea mabadiliko samahani mdogo wangu
 
Masikini mkubwa wewe, Umasikini umeukumbatia wewe unayehisi Tundu Lissu atakuletea mabadiliko samahani mdogo wangu
Mkuu najua unaogopa mabadiriko,Ila kwa miaka 60 ccm imeonesha haiwezi ikatukomboa toka kwenye hiii vita ya kupambana na umasikini,ujinga na maradhi.Magu ameonesha kushindwa zaidi ya hata wale waliomtangulia.Kwenye issue yoyote watu wa aina yako hawakosi,watu mnaoamini hakuna maisha zaidi ya yale mliyonayo Sasa huwa hamkosi.Kuhusu umasikini wangu,inawezekana Mimi ni masikini Ila ukinilinganisha Mimi na watanzania wengine including some ccm members yawezekana mimi nipo vizuri.All in all over 70% ya watanzania ni masikini.Magu anashangilia nchi kuingia uchumi wa kati huku wastani wa kipato Cha mtanzania kikiwa ni USD 1080 yaani TZS 2,300,000 kwa mwaka.Igawanye hiyo milioni mbili kwa miezi 12 then siku 30 uone kinachotokea,ccm na magufuli has to go
 
Njooni mwone huu utopolo hapa! Mhutu safari hii anapigwa kipigo cha mbwa mwizi
 
Ukishauri hv wana cdm wataishia kukutukana na kukejeli tu hasa kina Sky eclact....
wanadhani sisi wote wana ccm mm sina chama ila namchalenge Lissu aje na mikakati madhubuti....
kilimo, bishara na fursa elimu,afya katiba na kumtumaini Mungu baas....
 
Kampeni bado hazijaanza. Kwa sasa Lissu ana-test mitambo tu. CHADEMA wana sera zao walizindua mwaka juzi, subiri kampeni zianze utazisikia sera nzuri za ujenzi wa nchi yetu Tanzania.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mkuu sidhani Kama hawa watanzania masikini wanaangalia sera zipi nzuri na sera zipi mbovu.Wakati Slaa amesimama kwa tiketi ya Chadema akipambana na JK Chadema was far better than ccm kwa sera lakini pia kwa ubora wa mgombea,walikuwa na sera nzuri ya elimu bure,walikuwa na sera nzuri ya kuondoa Kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili hawa wadanganyika wanaoishi kwenye nyumba ambazo hazijaisha wajenge nyumba nzuri Ila hakuna aliyegari,si wapiga kura,wahesabu kura,watangaza matokeo au wale walinzi wa hawa wakoloni wetu.Kwa hiyo uchaguzi huu mwaka huu unapaswa uwe wa kuibua hisia zaidi za watanzania juu ya huyu mkoloni.kuibua hisia za familia zilizopoteza wapendwa waa,au zile zilizopoteza Mali zao,au kazi au masomo anything.Mifano mingi itolewe juu Yale yanayotokea ili kila mtu ajione hayuko salama Kama hatutsjenga nchi inayoheshimu mtu na utu wake.Kuwa na kiongozi anayesema uchumi ni muhimu kuliko kitu chochote hata uhai wa mtu ni hatari.
Lakini pia Kuna huu ujinga unaitwa "Mwache amalize muda wake"Watu wanatakiwa wajue wakati tunasubiria mtu amalize muda wake muda hatutakuwa unatusubiri pia,yaani mtu Kama amekosa Ada ya form five form six Leo na anamika 20 au mtu amedhiriwa na utawala huu mbovu na ana miaka 50 kusubiri amalize muda wake maana yake mtu huyo atakuwa amefikisha miaka 55 ambayo hawezi fanya kitu Cha maana Tena.Watu wanatakiwa wajue maisha ni leo
 
I salute you mtoa mada,haya Ni mawazo mema sana na viongozi wa vyama viwili vikuu ACT na chadema wafanyie kazi.
 
Safi sana mkuu,ni ushahuri mzuri sana
 
Ulipotoka, Ulipo na Unapokwenda bado hujapaelewa illustrations unazozitoa hazina mantiki, unaelewa nchi iliyoendelea na Inayoendelea??, Let's have a deal between you and me, Nakuhakikishia kwa 75% Tundu Antipas Lissu akichukua nchi, Tanzania inaweza kuingia kwenye great economic depression, Tambua kuwa mbali na Nyerere na Magufuli hamna kiongozi wa CCM aliyewahi kuwa na uthubutu Kama waliounesha Magufulina J.k Nyerere, Sample za Aina yako huwa mko kwenye limitations of boundaries, Ni ngumu kunielewa kwa sababu ya imani yako, Issue ya Economic development ni dhana pana zaidi ya unavyoihisi, Set your mind, think again, be frxible you will understand what I'm speak for.
 
Hongera kwa post yako umeniwahi nilipanga kutoka ushauri Kama huu wako
Tafadhali kwenye post yako edit na uongeze
1. Mara zote Tundu Lissu asimamapo kuongea ampe Mungu sifa na utukufu kwa kuyaokoa Maisha yake. Akumbuke watanzania wengi Ni watu wanaompenda Mungu. Kwa hivyo aungane nap kumshukr Mungu
2. Aelezee mapungufu na makosa mengi anayoyafanya Magafuli Kama upotevu was tsh 1.5 tillion, matusu kwa watu was bukoba yeye Kama kiongozi was taifa. Manunuzi ya vitu Kama ndege( njoo na hasara kutokana na manunuzi hayo) bila kushirikisha bunge
Gharama kubwa ya elimu, ukosefu was Ajira na mebngine mengi
Hapa ndo atazidi kumuondoa mzee hiyo kwenye reli
 
Mkuu nchi kuendelea inahitaji akili na si uthubutu wa kutumia nguvu nyingi akili kisoda,Kuhusu nchi kuwa kwenye economic depression,I think we are almost there mpaka sasa.Yaani Kamwe Magu si wa kucompare na Lissu,Magu mcompare na kina Lusinde na kina Lijuakali,Magu is not presidential material,nakuambia kwa dhati ya moyo wangu kumpa nchi hii Magu for the next five years ni uasi kwa nchi yetu na watu wake
 

Ushauri bora kabisa kwa Lisu na Cdm. Ni vyema ukafanyiwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…