Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za alinachaIla kuna watu wajinga duniani, yaani unaamini kabisa kuwa ni vigumu Magufuli kushindwa uchaguzi huu? Hivyo vijiji unavyovizungumzia wananchi wa huko wana watoto wao ambao tangu Magufuli aingie madarakani hawawapi misaada ya kutosha, na wanawaambia utawala huu haujawaongeza mishahara, umevuruga biashara zao, hivyo vipato vyao vimedumaa! Ndani ya CCM kwenyewe pamevurugika haijawahi kutokea..usicheze na nguvu ya Mungu watu wamepigwa upofu mambo ni vuluvulu!
🙏 🙏🙏🙏🙏 Bravo and Big Up.Mkuu nchi kuendelea inahitaji akili na si uthubutu wa kutumia nguvu nyingi akili kisoda,Kuhusu nchi kuwa kwenye economic depression,I think we are almost there mpaka sasa.Yaani Kamwe Magu si wa kucompare na Lissu,Magu mcompare na kina Lusinde na kina Lijuakali,Magu is not presidential material,nakuambia kwa dhati ya moyo wangu kumpa nchi hii Magu for the next five years ni uasi kwa nchi yetu na watu wake
Ongezea hapo.. aelezee kwanni alipigwa risasi katika mguu wa kulia alopokaa Dereva wake wakati gari linaonyesha lilishambuliwa upande wa kushoto alipokaa yeye. Na mpaka sasa Dereva wake amefichwa wapi