nilitaka kukwambia ukae chini kasha ujionee aibu kwanza kwa utupolo uliouandika , ila nilipoangalia id yako
Sijijui basi nikaishia kukuonea huruma , najua wanao mchukia magu ni wafanyakazi wa Taasisi za serikali ambao ni chni ya asilimia 10 .
Hebu wekezeni nguvu pengine siyo kwenye Urais. Pia no one wa kushindana na Magu hata mjumulishe kula kwanzia udiwani , ubunge na uraIsi hamfikiii, unajua kwanini?
kwasababu Magu kawekeza kwa watu wa chini kabisa ambao wengine wanaish kwa nusu dola ,
iyo sera Huruma kwa Lisu, aende akaonewe na mama ake siyo sisi tunaopima na matokeo , Magufuli nakuahd kula yangu kuwa ya kwanza kukupigia, sipigagi kula ila ww nakupa alafu nakuwa wa kwanza