Uchaguzi 2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

I proof, you know nothing at all about Tanzania politics, Evaluate your self before to give out what you doubt for, Tell me about Lissu's conceptual towards Tanzania development a part from Quotations he made from his donors.
 
I proof, you know nothing at all about Tanzania politics, Evaluate your self before to give out what you doubt for, Tell me about Lissu's conceptual towards Tanzania development a part from Quotations he made from his donors.
Chief I don't care about about that,the only thing I know for sure is Magu is not presidential material and that is the reason why our economy is growing negatively
 
nilitaka kukwambia ukae chini kasha ujionee aibu kwanza kwa utupolo uliouandika , ila nilipoangalia id yako Sijijui basi nikaishia kukuonea huruma , najua wanao mchukia magu ni wafanyakazi wa Taasisi za serikali ambao ni chni ya asilimia 10 .
Hebu wekezeni nguvu pengine siyo kwenye Urais. Pia no one wa kushindana na Magu hata mjumulishe kula kwanzia udiwani , ubunge na uraIsi hamfikiii, unajua kwanini?
kwasababu Magu kawekeza kwa watu wa chini kabisa ambao wengine wanaish kwa nusu dola ,
iyo sera Huruma kwa Lisu, aende akaonewe na mama ake siyo sisi tunaopima na matokeo , Magufuli nakuahd kula yangu kuwa ya kwanza kukupigia, sipigagi kula ila ww nakupa alafu nakuwa wa kwanza
 
Sijijui,

Chadema chukueni kila kitu hapa. Hii post ikitumiwa vizuri inawapa ushindi.

Hongera mwandishi
Tundu Lissu awaambie wakulima hataingilia biashara na bei za mazao makosa yaliyo sababisha umasikini kwa wakulima!!
Elezea korosho, mahindi, mbaazi, ufuta n.k.
wakulima wamefanywa maskini, wafanya biashara wamefilisika wageni km toka Kenya wamekimbia kwa kudhulumiwa na kunyanyaswa!!
Sasa hivi dhuluma ni kwenye vituo vya mizani TRA wanafilisi na kudhuluma wenye mazao kwa kodi za dhuluma!!
Watanzania wamegeuzwa watumwa ktk nchi yao!!
 
Acha ushabiki maandazi ndugu, nilifika kijijini kwetu miezi kadhaa iliyopita nilichogundua ni kuwa wanamjua sana Magufuli na CCM kwa vile ndiyo inazungumzwa sana radioni na viongozi wa ccm ndio wanaruhusiwa kuja kusema mengi ya sifa.
Lakini hizo sifa za SGR, bwawa la umeme, Ndege na viwanja vya Chato hazina impact kwao maana maji ni tatizo, zahanati imejengwa haina vifaa wala dawa na watoto wao wamemaliza vyuo lakini wapo tuu nyumbani hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha shughuli hakuna mpango wowote.
Kama CCM inadhani hizo nyimbo wanazoimbishwa watu kuwasifu ndio kura basi itatokota.
 

Mkuu huelewi mleta mada analenga nini, umeza ktk utopia socialisim za kina Lenin.
Hatuishi kwenye kisiwa tunaishi na wenzetu!!
Tuko EAC tupo SADAC na tuliacha ujamaa tukaingia uchumi wa kibepari!!
Ukidhulumu wenye bureu de change dola zao na wamehusle unajiona shujaa!!??
Watu wamedhulumiwa saana tunahitaji mkombozi ili tuwe katiba itakayo weka kanuni za uchumi wetu!!
Watu wawe huru wasiwe watumwa kwenye nchi yao!!
 
woga wa nini sasa kama ana uhakika watu watampigia kura? mbona ameanza kuminvolve mpaka igp amsaidie
 
Ongezea hapo.. aelezee kwanni alipigwa risasi katika mguu wa kulia alopokaa Dereva wake wakati gari linaonyesha lilishambuliwa upande wa kushoto alipokaa yeye. Na mpaka sasa Dereva wake amefichwa wapi
 

Akishinda kihalali sawa, akilazimisha matokeo RISASI HAZICHAGUI.
 
Ongezea hapo.. aelezee kwanni alipigwa risasi katika mguu wa kulia alopokaa Dereva wake wakati gari linaonyesha lilishambuliwa upande wa kushoto alipokaa yeye. Na mpaka sasa Dereva wake amefichwa wapi
Nawewe nenda kamuulize mama yako kuwa kwanini mimba yako hakutoa au baba yako kwanini hakuvaa kondomu.
 
Mkuu nadhani wewe ndo hujijui yaani unasema Magu kawekeza kwa watu wa chini,lakini hao watu aliowekeza kwao ndo wanaishi kwa nusu dola kwa siku yaani TZS 1000 kwa siku,Sasa hapo kawekeza nini? Propoganda au? Au hao watu wa chini ndo wamenunuliwa ndege? No wonder wewe ni mwanaccm
 
Nawewe nenda kamuulize mama yako kuwa kwanini mimba yako hakutoa au baba yako kwanini hakuvaa kondomu.
Jibu hoja. Matusi ya nni? Kwann hili swali mkiulizwa mnakua wachungu.
 
Ongezea hapo.. aelezee kwanni alipigwa risasi katika mguu wa kulia alopokaa Dereva wake wakati gari linaonyesha lilishambuliwa upande wa kushoto alipokaa yeye. Na mpaka sasa Dereva wake amefichwa wapi
Mkuu point yako ni nini hapa? Unataka kujua Lissu alikuwa amekaaje kwenye gari au unataka kusema risasi zilitoka upande wa dereva?alipigwa upande gani sioni Kama ni point ya muhimu sana unless iwe ni muhimu kwako na baadhi ya wanaccm wenzako.Tunachotaka Lissu afanye ni kuwashukru watanzania kwa maombi na michango yao.Kila mtu anajua kuwa serikali haijafanya uchunguzi na ilimnyima matibabu na Kisha akavuliwa ubunge,watanzania walikuwa nae all the time hivyo hana budi kuwatumikia.Hii hoja yako unaweza ukampa Magu akaiongiza kwenye hotuba zake
 
Naona kama yanafsnyiwa kazi toka umeingia mbona anashukuru sana kwa naombi na msaada wa hali na mbali
Anaelezea kilichotokea
Ameshashusha makombora ya kutisha kwa magu Alianza pale dodoma
Amelizu gumzia swala la katiba amesema hata hangnails ma maendeleo ya vitu tatizo ni mfumo
Amezungumzia montano na mambo ya Znz na ushirikiano wa chama
 
My point is kwanni tunapeleka lawama upande mwingine? Wakati kuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo hayana majibu kuhusu hilo shambulio. Hiyo hoja ya namna shambulio lilivyokua na namna alivyojeruhiwa ni ya muhimu sana kwasbb ndo inatoa picha ya suspect (ambae mpaka leo hatuelewi kwanini anafichwa).

Vile Vile kama mnaona hichi kitu siyo muhimu basi msimshauri akiweke kwenye hotuba zake kwa ajili ya kutafuta huruma ya wananchi. Kama mnashauri aiweke basi aeleze kila kitu asichague matukio yanayoelekeza lawama upande mwingine halafu yanayowahusu wao hawayaongelei.

Uchunguzi kuhusu hili tukio ulimuhitaji sana Lissu na Dereva wake kwasbbu wao ndo walioshuhudia kila kitu na bahati nzuri wapo hai, lakini bahati mbaya hawakua tayari kutoa ushirikiano. Inaeleweka lissu alikua kwenye matibabu asingeweza kufanya lolote kipindi kile. Tunashukuru mungu amepona na sasa amerudi Tz. Tunatarajia jeshi la polisi katika muda muafaka watamuita wamhoji ili kesi hii iendelee na ukweli ujulikane..
 
Mtu huoni kama hizi point Magufuli akiziongezea kwenye hutuba yake zitamuongezea credit sana?kwa nini asiziongeze ili kuzuia huruma ya wananchi kwa Lissu?
 
Chief I don't care about about that,the only thing I know for sure is Magu is not presidential material and that is the reason why our economy is growing negatively
Cool down, You cannot think propery, You cannot reason and Mkombozi? Mkuu unazidi kunipa mashaka, Lissu mwenyewe kakiri kuwa CCM hawaiwezi Kama wataendelea na fikra na mbinu butu walizonazo aliwataka wanachadema kufanya kazi, kwa hiyo mkuu unahisi Lissu akipewa dhamana ya kuongoza nchi atakutoa kwenye utumwa ulionao??
 
Brother hata magufuli mwenyewe hana hiyo confidence unayotaka kuionyesha hapa, angalia udhibiti wa habari za wapinzani sasa hivi pamoja na kuwa hawakuruhusiwa kufanya siasa miaka yote mitano, what for? Vijijini pia usifikiri kuna watu wa enzi hizo, wapiga kura wa vijijini sio wazee tena. wait and see
 
Mtu huoni kama hizi point Magufuli akiziongezea kwenye hutuba yake zitamuongea credit sana?kwa nini asiziongeze ili kuzuia huruma ya wananchi kwa Lissu?
Magufuli ana vitu vingi sana vya kuongea na wananchi kuhusu maendeleo yao, hawezi kuongelea mambo ambayo hayana tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…