bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Kwa wale walioangalia hotuba za mwalimu Nyerere siku ya tarehe 14 Octoter kupitia ITV, ilionyeshwa hotuba moja nzuri alipokuwa akihutubia bunge la Afrika Kusini. Ilikuwa ni hotuba nzuri mbele ya mzee Mandela. Sikuweza ku note ilitolewa mwaka gani. Je kuna aliyeiona akanisaidia mwaka? Mambo aliyoyaongea ni kama yanatokea leo. Na je kuna sehemu wanauza cd za hotuba zake?