Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
nitakutumia namba ya simu ya jamaa hapa moshi anaziuza kama njugu,amepiga hema lake posta kuu kila siku anaonyesha watu lakini katika pitapita yangu hapa moshi sijawahi kuona watu au mtu ananunua zaidi ya kusikiliza na kuangua vicheko kwa jinsi mwal. anavyotoa hotuba zake na kuchekesha kama mtoto mdogo,kesho jumanne utapata simu ya huyo jamaa au baadaye kidogo jioni,yote aliyokuwa anayasema hayatekelezwi nashangaa gazeti la uhuru leo wanatoa tahariri wanasema tumuenzi mwal. kwa kutoruhusu watu wasivuruge muungano.
mbona uhuru hawasemi tumuenzi mwal. kwa kuwasaka wezi na mafisadi wa mali za umma ambao wameua viwanda alivyoviacha mwal.?
mbona uhuru hawasemi tumuenzi mwal. kwa kuwasaka wezi na mafisadi wa mali za umma ambao wameua viwanda alivyoviacha mwal.?