Zitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.
Natamani ningeweza kukuona nikalinganisha mwonekano wako na upuuzi unaoandika kama vinaendana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.
Natamani ningeweza kukuona nikalinganisha mwonekano wako na upuuzi unaoandika kama vinaendana!
Shetani aendelea kukusaidia!
Pamoja na kwamba huru wa kusema na kutapika huu ujinga ni wako ni bora ukaweka akiba maana mawazo mengine unaweza kusababisha utindo wa ubongo kwa wanao maana watajiuliza u-mama wa aina gani katika dunia hii!
Monile wakuu! Mwenye hotuba zake kwa mfumo wowote ule,wa maandishi,audio au video, naomba anisaidie niweze kumsikiliza au anijulishe wapi ntazipata.
wafia dini hao
Zitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.
Onyesha cha maana kimoja cha Nyerere tukijadili halafu tuone kweli kina maana? angekuwa na maana angeiacha hii nchi baada ya miaka 24 ya kutawala kidikteta, kuwa maskini duniani?
Kama alivyowajaza ujinga baba zako wa gerezani.Zitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.
Kama alivyowajaza ujinga baba zako wa gerezani.
Semeni tena:
1) In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it."
Source: nyerere - We are African Youth
2) This ujamaa system failed to boost agricultural output and by 1976, the end of the forced collectivization program, Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products in Africa. Chastised for the failure of his ujamaa program to improve the Tanzanian economy, Nyerere decided not to run for reelection in 1985. With unusual frankness for a politician, he stated in his farewell speech, "I failed. Let's admit it."
Source: Julius Nyerere - Definition | WordIQ.com
3) "I failed. Let's admit it.
Source: Julius Nyerere Summary | BookRags.com
4) Read here also its quoted:
The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage
Source: The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa
5) Nyerere accepts failure.
With the realization that the Tanzanian economy did not flourish and being unwilling to lead Tanzania using an economic model he did not believe in, Nyerere willingly announced that he would retire after presidential elections in 1985, leaving the country to enter its free market era under the leadership of Ali Hassan Mwinyi. In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it".
Source: http://observer.gm/africa/gambia/ar...walimu-julius-nyerere-icon-of-african-freedom
Vipi, wote hao waongo?
Niongeze au mnaikubali kuwa ni kauli ya NYERERE?
Kwa akili ipi uliyonayo ya kuweza kufanya majadiliano kama huwezi kuona hata kimoja kizuri cha J.K.Nyerere!
Hivi siku hizi pale Lumumba panauzwa/mnauza Akili siyo?
Ila hongera kwa ujasiri ulionao na ukaaminiwa kufanya kazi za kishetani
Semeni tena:
1) In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it."
Source: nyerere - We are African Youth
2) This ujamaa system failed to boost agricultural output and by 1976, the end of the forced collectivization program, Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products in Africa. Chastised for the failure of his ujamaa program to improve the Tanzanian economy, Nyerere decided not to run for reelection in 1985. With unusual frankness for a politician, he stated in his farewell speech, "I failed. Let's admit it."
Source: Julius Nyerere - Definition | WordIQ.com
3) "I failed. Let's admit it.
Source: Julius Nyerere Summary | BookRags.com
4) Read here also its quoted:
The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage
Source: The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa
5) Nyerere accepts failure.
With the realization that the Tanzanian economy did not flourish and being unwilling to lead Tanzania using an economic model he did not believe in, Nyerere willingly announced that he would retire after presidential elections in 1985, leaving the country to enter its free market era under the leadership of Ali Hassan Mwinyi. In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it".
Source: http://observer.gm/africa/gambia/ar...walimu-julius-nyerere-icon-of-african-freedom
Vipi, wote hao waongo?
Niongeze au mnaikubali kuwa ni kauli ya NYERERE?
nenda pale kwenye ofisi za mfuko wa taasisi ya mwl.nyerere karibu na ifm muone mze josef butiku utazipata zote unazohitaji.
TBC wana hotuba zote za Nyerere tangu uhuru mpaka kifo chake.
Jikumbushe:
The Dark Side Of Nyereres Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa
''I had been transferred to Dar-es-Salaam from Mtwara, to extract more confessions using his familiar cowboy tactics. Throughout my captivity I wondered how many more victims of Nyereres regime had been forced to sign statements obtained under duress and through physical torture. I wondered then if anybody would put together a book describing their plight, in order to give the world community a glimpse of human rights abuses under Nyereres leadership. ************* Journey to Dar-es-Salaam Around midnight, December 27, 1983, I heard strange movements outside my cell; the movements of people, security personnel and cars. They seemed to be ''
Kabwina,aise ukipata namie nipe
ameuliza atazipata wapi kama unajibu la alichouliza sema kama hauna cha mwendoZitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.