ilikuwa mwaka 1997Kwa wale walioangalia hotuba za mwalimu Nyerere siku ya tarehe 14 Octoter kupitia ITV, ilionyeshwa hotuba moja nzuri alipokuwa akihutubia bunge la Afrika Kusini. Ilikuwa ni hotuba nzuri mbele ya mzee Mandela. Sikuweza ku note ilitolewa mwaka gani. Je kuna aliyeiona akanisaidia mwaka? Mambo aliyoyaongea ni kama yanatokea leo. Na je kuna sehemu wanauza cd za hotuba zake?
ilikuwa mwaka 1997
Mkuu Nape na wenzie wanaijua vizuri sana ila maksudi tu! Naona mwl hakuwa mgumu wa kusoma nyakati kwani aliwatahadharisha kuwa pamoja na kuwa CCm ndiyo chama chake, wananchi wanachotaka ni mabadiliko na yasipopatikana CCM yatapatikana nje (Kumbuka ndo vyama vingi vilikuwa vimeanzishwa punde). Kero kubwa za wananchi aliacha ziko adressed kabisa. Pia sijawahi kuona hotuba ya huyu mzee akihutubia bila kucheka ila hii mwanzo hadi mwisho, nafikiri ni kwa kuwa alikuwa anaongelea mambo sensitive na sura inaonesha anamaanisha. R.I.P Mwl.Mh!Nape ameiona hii?Inabidi wawe wanaiangalia hii clip kila wanapokuwa kwenye mikutano yao,maana wamejitahidi kutugawa kiitikadi,kikabila,kidini,pole zake Mwalimu ameondoka na chama chake.
Anasema "Kiongozi bora hawezi kutoka nje ya CCM, ninyi wapiga kura mnaweza kutupatia kiongozi safi kwa kura zenu, basi tupatie kiongozi safi kwa kura zenu, asanteni".Aiseeeeeee!
Kwa nini mkuu? Mbona anayoongelea ni ya msingi sana au hamaanishi anayoyasema?Porojo tu.
Porojo tu.
Hili sina uhakika nalo kwani hata Mh. Rais wetu ana tabia hii ya kukuna kichwa lakini anachoongea ni cha msingi.Ukiona mtu kabla hajaongea analotaka kuongea akajikuna kichwa, ujuwe hizo ni porojo.
Hili sina uhakika nalo kwani hata Mh. Rais wetu ana tabia hii ya kukuna kichwa lakini anachoongea ni cha msingi.
Kila rais aliyepita ana mabaya na mazuri aliyofanya. Kwa jinsi nyerere alivyokuwa kama leo hii angekuwepo asingebisha kurudishwa Tanganyika ndiyo maana alisema wananchi wanataka mabadiliko, wasipoyapata CCM watayatafuta nje ya CCM kauli ambayo maraisi wengine hawawezi kuthubutu kuitoa.Nyerere ni mtu aliyeiuwa Tanganyika kwa porojo zake.
Kila rais aliyepita ana mabaya na mazuri aliyofanya. Kwa jinsi nyerere alivyokuwa kama leo hii angekuwepo asingebisha kurudishwa Tanganyika ndiyo maana alisema wananchi wanataka mabadiliko, wasipoyapata CCM watayatafuta nje ya CCM kauli ambayo maraisi wengine hawawezi kuthubutu kuitoa.
Naona kama unazaidi ya uongozi wake huyu mzee, sababu hao waliopigwa detention hata wewe huna uhakika nao. Kuhusu kucheka katika hotuba zake ni kwamba hadi leo hii watu wakisikiliza hizi hotuba utakuta wanacheka, inamaana bado wanamuogopa?Hizo ni hypothesis, "ange...". Yeye ndio aliyeiuwa na kila aiyeongelea hilo amma alipotezwa amma alisulubiwa, Jikumbushe, Kassim Hanga, Aoud Jumbe n wengineo.
Huyo Mzee alikuwa ni ndumila kuwili na porojo nyingi, alipoongea alijichekesha na watu walijichekesha hata pasipochekesha, kwa uoga tu wa udikteta wake.
To me he is nothing but porojo.